Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulevi mbaya kwa Ally Karume lkn mzuri wa wengine waliopo madarakani?Asa kwa akili ya kawaida mlevi yule atampa nani urais ? Labda urais wa Walevi
Pengine anaanzisha chama kwa ajili ya MaalimuAsa kwa akili ya kawaida mlevi yule atampa nani urais ? Labda urais wa Walevi
GIANTS MILELE YOTE!CCM hawashindwi kitu kama wakiamua
CCM Luna kipindi nilitofautiana nao sana. Wakanitafutia makosa na mapungufu kila kona lakini walishindwa kuambulia chochote kile mpaka wakahisi wana deal mzimu. Ndipo mmoja akapendekeza eti wanizushie kuwa Mimi natokea mbinguni, hivyo sipaswi kuaminiwa.... CCM bana.
Pengine alikua hajachkua uraia bado. Izo skendo zao wanatufanya sote akili zetu Za samaki kama waomh ma ccm haya ni shida!!miaka yote hiyo apivyokuwa balozi alikuwa balozi wa marekani nini?akiiwajioisha marekani ama?leo ametoka eti sio raia!!so mtu mpka anakuwa balozi wetu sehemu then anakuwa sio raia so anamwakilisha nani?hacheni kutufanya c wajinga!!
Mwongo utokaje mbinguni ?!CCM Luna kipindi nilitofautiana nao sana. Wakanitafutia makosa na mapungufu kila kona lakini walishindwa kuambulia chochote kile mpaka wakahisi wana deal mzimu. Ndipo mmoja akapendekeza eti wanizushie kuwa Mimi natokea mbinguni, hivyo sipaswi kuaminiwa.... CCM bana.
Kwa hiyo kuna vita kati ya Balozi Karume na Balozi Iddi? Nilidhani katika familia ya Karume huyu ndo alikuwa CCM kindaki ndaki hadi kushauri kuwa katiba iseme "Raisi wa Zanzibar atokane na CCM tu". Amani sijui CCM inamuweka wapi. Dada yao ndio kaingia CUF na Fatma msimamo wake uko wazi. Je hii ni ishara ya CCM kuzidi kupoteza nguvu Zanzibar?Baada ya kugundulika kutaka kutumia jina la baba yake kuanzisha chama kipya Visiwani Zanzibar baada ya kuona nafasi ndogo kwake kuweza kugombea urasi wa Zanzibar 2020 sasa wanaharakati wa Balozi Seif Iddi wamesema Ali Karume atulie kwani watambomoa yeye sio Raia wa Tanzania wana data zote kutoka kwa marafiki zake aliokuwa akinywa nao Pombe huko marekani yeye alichukua uraia wa Marekani baada ya kuunganishiwa na rafiki zake mwanamke wa kimarekani kumfailia uraia wakati yupo Ujerumani alipokua Balozi , kila wakati aliamua kuja Marekani kwa likizo ili kuweza kupata uraia wa Marekani na ilibidi anunue nyumba mbili huko Jijini Potomac Marekani.
Aambiwa harakati zake za uraisi asahau hasa baada ya Dada yake kujiunga na CUF Mbele ya Maalim Seif , CCM wasema hawaimini tena familia ya Karume.
CCM haipo kabisa huku ZNZ. Umebakia mitutu inayowaeka madarakaniKwa hiyo kuna vita kati ya Balozi Karume na Balozi Iddi? Nilidhani katika familia ya Karume huyu ndo alikuwa CCM kindaki ndaki hadi kushauri kuwa katiba iseme "Raisi wa Zanzibar atokane na CCM tu". Amani sijui CCM inamuweka wapi. Dada yao ndio kaingia CUF na Fatma msimamo wake uko wazi. Je hii ni ishara ya CCM kuzidi kupoteza nguvu Zanzibar?
Character assasination+tuhuma..siasa bhana ni jazzah ujazweh.Raia wa Tanzania wana data zote kutoka kwa marafiki zake aliokuwa akinywa nao Pombe huko marekani
Umesema kweli kabisa Mkuu..Ndiyo mila na tamaduni za ccm ukitoka kwenye chama chao utazushiwa mengi ikiwemo sio raia wa Tanzania, tena Afadhali yeye wengine huwa wanazushiwa uraia wa somalia
Serukamba aliwahi kuomba uraia wa Tanzania au aliidanganya kuwa ni mtanzaniaUmesema kweli kabisa Mkuu..
Watakusingizia uraia wa Rwanda au Somalia.
Asa kwa akili ya kawaida mlevi yule atampa nani urais ? Labda urais wa Walevi
Baada ya kugundulika kutaka kutumia jina la baba yake kuanzisha chama kipya Visiwani Zanzibar baada ya kuona nafasi ndogo kwake kuweza kugombea urasi wa Zanzibar 2020 sasa wanaharakati wa Balozi Seif Iddi wamesema Ali Karume atulie kwani watambomoa yeye sio Raia wa Tanzania wana data zote kutoka kwa marafiki zake aliokuwa akinywa nao Pombe huko marekani yeye alichukua uraia wa Marekani baada ya kuunganishiwa na rafiki zake mwanamke wa kimarekani kumfailia uraia wakati yupo Ujerumani alipokua Balozi , kila wakati aliamua kuja Marekani kwa likizo ili kuweza kupata uraia wa Marekani na ilibidi anunue nyumba mbili huko Jijini Potomac Marekani.
Aambiwa harakati zake za uraisi asahau hasa baada ya Dada yake kujiunga na CUF Mbele ya Maalim Seif , CCM wasema hawaimini tena familia ya Karume.