Ali Khamenei agawa nishani kwa makamanda waliotoa kipigo cha mbwa koko

Kulikuwa kipigo kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi:

View attachment 3116903

View attachment 3116902

Hayakuwa maeneo ya raia wala miundo mbinu.

Kulikuwa kipigo cha mbwa Koko!
Wazalendo wanatunukiwa tunu kwa kufanya kazi nzuri iliyotukuka zidi magaidi wa ki Israel.
Ahsante Khamenei kwa kutambua kazi nzuri ya vijana wako.

Nimalizie tu kwa kusema "KITUNZE KIKUTUNZE"
 
daah kiongozi kazingua sana kwanini anawachoresha makamanda wake muhimu kwa kuwaweka hadharani sasa washajulikana hivi na israel atawala kichwa mmoja mmoja..bora angewapa hizo nishani kimya kimya tu bila kuwaanika sura zao ndo kashawaponza hivyo

Itakuwa ni habari mbaya sana hii Israel na hasa ile ya makwetu Buza huku
 
Ayatollah Khamenei ndio kiongozi wangu, amenifurahusha sana juzi kwa kichapo cha mbwa koko alichompa Israhell.

Tunahitaji viongozi 3 tu hapo middle East kama huyu ndio amani itapatikana.

Ile habari ya kuwataja Hezbollah ku disarm iliishia na mvua zile za rashasha za makombora ya wapenda haki
 
Kulikuwa kipigo kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi:

View attachment 3116903

View attachment 3116902

Hayakuwa maeneo ya raia wala miundo mbinu.

Kilikuwa kipigo cha mbwa Koko!
Shaka yangu je hiyo furaha yao itadumuu ai itakuwa kama ya lebanoni na palestina?

Hili zimu tulisikie tuu ila hali kwa walengwa hasa wananchi wa kawaida ni mbaya mbaya kupita kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…