Ali Khamenei agawa nishani kwa makamanda waliotoa kipigo cha mbwa koko

Shaka yangu je hiyo furaha yao itadumuu ai itakuwa kama ya lebanoni na palestina?

Hili zimu tulisikie tuu ila hali kwa walengwa hasa wananchi wa kawaida ni mbaya mbaya kupita kawaida

Kwani bi nyau anapanga kutokea mwenyewe au na mbeleko ya Babu?
 
Mashambulizi ya Iran yameleta madhara gani kwa Israel? Kama Israel bado inamtwangwa hamasa na Lebaboni
 
Ikiwa kuweza kulenga tu target hapo kwa Mzayuni wamezawadiwa nishani siku wakiweza kumpiga drone waziri wa ulinzi au army general wa Israel watawapa zawadi ambazo hazifai kutamkwa wala kuandikwa hapa
 
Tukiacha blah blah za udini , Israel ndio wanavuruga amani mashariki ya kati, biblia waandike wayahudi , waseme wao ni nchi ya ahadi ambayo hawakuwahi kuishi, halafu watake dunia iwaamini? Myahudi ni nani? Kila mzungu utaesikia anasema ni muyahudi whether anaongea kiyahudi au lah ni wale wazungu wanaohisi dunia ni yao na wamemiliki njia nyingi za mifumo ya kifedha dunia nzima
 
Iran yuko sahihi ajilinde hao waisrael sio watu wa kuchekea , waarabu wangeweza kuungana wakamtia adabu ili amani ya kweli ipatikane, hakuna asiejua israel ni kivuli cha muingereza na marekani kwa wakati mmoja , hao ndio waliunda hilo taifa feki
 

Wafuasi kindaki ndaki wa wajomba zake Mungu hawawezi kukuelewa
 
Wazalendo wanatunukiwa tunu kwa kufanya kazi nzuri iliyotukuka zidi magaidi wa ki Israel.
Ahsante Khamenei kwa kutambua kazi nzuri ya vijana wako.

Nimalizie tu kwa kusema "KITUNZE KIKUTUNZE"
Baadae ya muda, mbona wanajua wanawake na watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…