Tetesi: Ali Khamenei na kabineti yake wameikimbia Iran, nini wanakiogopa?

Tetesi: Ali Khamenei na kabineti yake wameikimbia Iran, nini wanakiogopa?

Nashangaa hawawataki mabikra 72...pumbavu zao ..nafasi adimu kabisa hio
 
Toka nilipogundua kuwa JF wamevamia watu wa facebook, nkajua lazima haya yatokee.. watu wana taarifa kuliko israel mpk iran wenyewe... dah tutafika tumechoka.
 
Nyakati za vita hutakiwi kukimbia waeza kuta Traore kakalia kiti
 
Back
Top Bottom