Yanayojiri muda huu pale TehranInaeleza nini hii Movie?
Waondoke MAMMBWA hayo waiache Iran huru na watu wake ...wamekandamizwa mno haswa wanawake ...hawana.uhuru..wananyanyaswa kijinsiaWhy are they run away to unknown? View attachment 3368492
Hayo yote ya iran na israel yamewekwa humo..Inaeleza nini hii Movie?
Sisi lini tutapata viongozi wenye akili km hawaHata ingekuwa wewe umeona hii kauli ungebaki
Ni kweli. Jamaa alifanya makusudi. Ili afike hapa alipofikaOctober 2023 Israel alitoa kafara watu wale ili apate sababu ya kumpiga Iran,
Israel pounds, specific point zenye hatari kwa usalama wake na eneo lote la mashariki kwa ujumla, Ndugu zetu IRAN wanamwaga mabomu kila pahala, hawalengi point muhimu yoyote wanamwaga mabomu πππView attachment 3368661