Ali Kiba aanzisha lebo yake, Abby Skills na Jokate wapata shavu

Ali Kiba aanzisha lebo yake, Abby Skills na Jokate wapata shavu

Duu kwahiyo ngoma ya sasa ya abdu haijafanya powa ila anataraji inayofuata watakuwa pamoja itafanya powa kwa vile wapo wote

Duuuu
 
Hawa wa sanii wa mikataba ya Sony wanamatatizo sana kutokujitambua
 
Nachokikubali kwa domo alikuwa akiwaangalia wakina Kiba na Wema nahisi akiwemo Jokate akijiuliza ee Mwenyezi Mungu ni lini nitakuwa kama hawa watu leo hii cheki yupo juu zaidi yao.

Funzo ni tupige kazi kwa bidii tukimuomba Mungu kwa juhudi zote bila kusahau kuwaheshimu wazazi, Mungu ni mwema , kuhusu ushirikina mimi sishauri
Mkuu mbona Kama uko nje ya uzi
 
Mleta Uzi huu Uzi wako umekaa kidomo domo tuletee evidence ya video wapi Ali kiba alisema Ana lebo acheni shobo
 
Back
Top Bottom