Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona Kama uko nje ya uziNachokikubali kwa domo alikuwa akiwaangalia wakina Kiba na Wema nahisi akiwemo Jokate akijiuliza ee Mwenyezi Mungu ni lini nitakuwa kama hawa watu leo hii cheki yupo juu zaidi yao.
Funzo ni tupige kazi kwa bidii tukimuomba Mungu kwa juhudi zote bila kusahau kuwaheshimu wazazi, Mungu ni mwema , kuhusu ushirikina mimi sishauri