Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Mkuu watu wachawi sio mbaka wawe na matunguli hata wenye tabia kama zako ni wachawi baada ya kutoa hongera kwa kijana kwa hatua aliyofikia wewe unamuonbea mabaya!



-Nyerere-
Usichukulie siriaz sana hii mitandao, na siku ukibahatika kuniona utashangaa mbona sifanani na ninachokiongea hapa.
 
Pryinka chopra yule starring wa kwenye Quantico series,aliwahi kuwa miss india and world 2000,hongera zake diamond
 
Pryinka chopra yule starring wa kwenye Quantico series,aliwahi kuwa miss india and world 2000,hongera zake diamond
Yap mkuu huyu dada ni kiungo kwenye kuigiza yupo vizuri na kuimba pia. Kuna nyimbo yake moja ameimba na pitbul ni kali sana
 
Kila la heri Ali Kiba.Ushindi wa tunzo hiyo utakuwa sio wako peke yako bali ni watanzania wote.
Mngetuwekea na link ya kupiga kur
 
Tatizo ya daimond mswahili sana,mkimpigia kura akishinda analeta maneno yke ya dharau.
1.diamond ni mswahili kweli hajawai kua mzungu

2.maneno yake ya dharau lazima yakuchome kweli kama wewe ni hater kwake...ayo maneno ya dharau kwa shabiki wake ni burudani tosha [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...

tusilazimishe nyekundu kua nyeupe...ata mimi ukiingia anga zangu nina dharau na kila mtu ana dharau kwa dizaini yake

0404
 
Ngoja waje nahiv wamepata nomination [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sina hamu na mwaka jana ila yamepita sipigi kura ila pia sitafanya zile vote 4wizkid though nataman ashinde[emoji23] [emoji23]
Aisee acha walikuwa wanatia hasira sana hawa watu na wana maneno ya shombo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…