Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Mkuu watu wachawi sio mbaka wawe na matunguli hata wenye tabia kama zako ni wachawi baada ya kutoa hongera kwa kijana kwa hatua aliyofikia wewe unamuonbea mabaya!



-Nyerere-
Usichukulie siriaz sana hii mitandao, na siku ukibahatika kuniona utashangaa mbona sifanani na ninachokiongea hapa.
 
Tuzo za kununua hizo, ila King noma yani bila kutoa hata mia, jamaa kaingia kwny MtvEma
Ndio maana jamaa tajiri sana,huku huyo wa siku nyingi kwenye muziki ni kapuku,
1474579955467-jpg.405255

1474579955467-jpg.405255
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Alikiba ametajwa kuwania kwenye tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards
(EMA) kipengele cha Best African Act.

Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.

Mshindi wa hatua hii ya kwanza ataenda kuwakilisha moja kwa moja kuwakilisha kwenye mtv worldwide act.

Mwaka jana mshindi wa Vingelele vyote viliwi alikuwa Mtanzania Diamond Platnumz alietwa tuzo zote 2 na kuwa mwafrika wa kwanza kushinda kwenye kipengele cha world wide act akimshinda mhundi mwanamuziki na muigizaji Pryinka Chopra.
Pryinka chopra yule starring wa kwenye Quantico series,aliwahi kuwa miss india and world 2000,hongera zake diamond
 
Pryinka chopra yule starring wa kwenye Quantico series,aliwahi kuwa miss india and world 2000,hongera zake diamond
Yap mkuu huyu dada ni kiungo kwenye kuigiza yupo vizuri na kuimba pia. Kuna nyimbo yake moja ameimba na pitbul ni kali sana
 
Kila la heri Ali Kiba.Ushindi wa tunzo hiyo utakuwa sio wako peke yako bali ni watanzania wote.
Mngetuwekea na link ya kupiga kur
 
Tatizo ya daimond mswahili sana,mkimpigia kura akishinda analeta maneno yke ya dharau.
1.diamond ni mswahili kweli hajawai kua mzungu

2.maneno yake ya dharau lazima yakuchome kweli kama wewe ni hater kwake...ayo maneno ya dharau kwa shabiki wake ni burudani tosha [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...

tusilazimishe nyekundu kua nyeupe...ata mimi ukiingia anga zangu nina dharau na kila mtu ana dharau kwa dizaini yake

0404
 
mnamkuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
eti kila siku wakimataifa..
kwani mkisema wa mchangani atapungua sauti[emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ngoja waje nahiv wamepata nomination [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sina hamu na mwaka jana ila yamepita sipigi kura ila pia sitafanya zile vote 4wizkid though nataman ashinde[emoji23] [emoji23]
Aisee acha walikuwa wanatia hasira sana hawa watu na wana maneno ya shombo sana
 
Back
Top Bottom