Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichukulie siriaz sana hii mitandao, na siku ukibahatika kuniona utashangaa mbona sifanani na ninachokiongea hapa.Mkuu watu wachawi sio mbaka wawe na matunguli hata wenye tabia kama zako ni wachawi baada ya kutoa hongera kwa kijana kwa hatua aliyofikia wewe unamuonbea mabaya!
-Nyerere-
Ndio maana jamaa tajiri sana,huku huyo wa siku nyingi kwenye muziki ni kapuku,Tuzo za kununua hizo, ila King noma yani bila kutoa hata mia, jamaa kaingia kwny MtvEma
Pryinka chopra yule starring wa kwenye Quantico series,aliwahi kuwa miss india and world 2000,hongera zake diamondAlikiba ametajwa kuwania kwenye tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards
(EMA) kipengele cha Best African Act.
Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.
Mshindi wa hatua hii ya kwanza ataenda kuwakilisha moja kwa moja kuwakilisha kwenye mtv worldwide act.
Mwaka jana mshindi wa Vingelele vyote viliwi alikuwa Mtanzania Diamond Platnumz alietwa tuzo zote 2 na kuwa mwafrika wa kwanza kushinda kwenye kipengele cha world wide act akimshinda mhundi mwanamuziki na muigizaji Pryinka Chopra.
Nilitaman hata ni gonge like Mara 7 kwenye comment yako[emoji23]Achana nao,hawezi kupata hiyo tuzo hata alale uchi makaburini miaka 36.
Tatizo ya daimond mswahili sana,mkimpigia kura akishinda analeta maneno yke ya dharau.Hongera zake.... Ila IT'S PAY BACK TIMEEE
WE VOTE FOR WIZKIDDDDDDDOOOOO
Yap mkuu huyu dada ni kiungo kwenye kuigiza yupo vizuri na kuimba pia. Kuna nyimbo yake moja ameimba na pitbul ni kali sanaPryinka chopra yule starring wa kwenye Quantico series,aliwahi kuwa miss india and world 2000,hongera zake diamond
Mpige kura na nyinyi banaPopcorn na Pepsi pembeni tunaangalia movie. Tunamtakia kila la heri. wako wapi marafiki zetu Cc. Nifah , atoto , pwilo.
Hahaha, Mungu akipenda ila sijawiwa kabisa.Mpige kura na nyinyi bana
1.diamond ni mswahili kweli hajawai kua mzunguTatizo ya daimond mswahili sana,mkimpigia kura akishinda analeta maneno yke ya dharau.
Sina hamu na mwaka jana ila yamepita sipigi kura ila pia sitafanya zile vote 4wizkid though nataman ashinde[emoji23] [emoji23]Haaah hawa jamaa walichotufanyia mwaka jana daah hadi nikawa na kesha ku vote [emoji17]
Ngoja waje nahiv wamepata nomination [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mnamkuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
eti kila siku wakimataifa..
kwani mkisema wa mchangani atapungua sauti[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Aisee acha walikuwa wanatia hasira sana hawa watu na wana maneno ya shombo sanaSina hamu na mwaka jana ila yamepita sipigi kura ila pia sitafanya zile vote 4wizkid though nataman ashinde[emoji23] [emoji23]
Zamu yao saiv.... Kila lakheri we will be here watching [emoji41]Aisee acha walikuwa wanatia hasira sana hawa watu na wana maneno ya shombo sana