HahaaaaUudesi bee
Duh jamaa unajua kulalamika!!Habari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.
Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",
Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.
Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male", Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.
Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?
Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo, kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.
[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
Mim nilijua unaleta link na evidence kumbe blaa blaaa tu. naona unaukichaaa wa mawazo. Lete story iliyokamilika acha ufinyu wa mawazoHabari wakuu!

Domo na kiba hawana tofauti ya kipato. Wote wanaimba na wote waliuza au wanaendelea kuuza ngada... Bishaaamusic its Business.kama ulikuwa hujuiii mzikii biashara ndioo huuo kiba anafanya mzikii wa kuuza sura mpaka leoo hiii
You come with an allegation and yet you cant even prove it.Nataka Mimiload ushahidi wa unonesha idadi ya kura za washiriki wote, lakini nashindwa, yeyeto anaueweza kunisaidia anielekeze namna ya kuapload images.
Halafu unaweza kuta alieandika kiswahili hichi cha porini ni graduate, eti 'hahujumiwa' ndio tunashinda tunabishana nao hapa JF.Hahujumiwa na nani aisee.. Kuna watu hawana roho nzuri hila Mungu hanawaona
Uudesi bee[/QUOTEha haaa haaa ideta pe kwelu