Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Tumia research rahisi tu, angalia nyimbo za kiba zikipigwa kwenye matukio ya harusi hakuna anayezicheza, piga za diamond uone watu wanavyoacha viti na kuja kwenye dancing floor. Mashabiki ndo wanampndisha mtu na kujishusha na raha ya music ukubalike kw watu
 
Habari wakuu!

Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.

Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",

Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.

Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male", Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.

Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?

Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo, kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.

[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
Duh jamaa unajua kulalamika!!
 
No mater what, siku zooote shabiki huridhika na kombe tu
 
Muziki wa tz ni matatizo tu na kwa waelewa wa mambo ni ngumu kuufuatilia.
Kwa waliokuwepo enzi hizo wakati billicans inawika aliwahi kuja mchezesha muziki (dj) mmoja kutoka Ulaya, nadhani alifutailia kidogo kwenye media za nyakati hizo na kutafiti kidogo ndipo akajua nyimbo zilizokuwa kwenye chart Tanzania/Dsm nyakati hizo. Nakumbuka baadhi ya nyimbo zilikuwa kama Neema wa DDC Mlimani, MV mapenzi-sauda, chatu mkali-OSS nk. Alivyochangamsha ukumbi na manyimbo ya kwao akaona watu wamechangamka ndipo akaanza kuzipiga hizo 'locals' matokeo yake wakaacha kucheza na kusimama!
Nakumbusha haya ili kujua how complicated our minds and preferences are hata usiweze kutabiri kama tunachokishabikia ndicho kweli tunachokipenda. ...sijui kama ule utafiti uliofanyika karibuni wa 'watu wawili kati ya wanne' ulikuwa relevant nyakati hizo!
Tuendelee tu kuongra na kujifariji lakini bado muziki mzuri kama wa Yousur Ndur na Remmy haujasikika.
 
Habari wakuu!

Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.

Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",

Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.

Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male", Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.

Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?

Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo, kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.

[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
Mim nilijua unaleta link na evidence kumbe blaa blaaa tu. naona unaukichaaa wa mawazo. Lete story iliyokamilika acha ufinyu wa mawazo
 
You think I give a damn about a Grammy? Eminem wajinga wakaja kumpa baadae same to Ali K usipoteze hela zako kwa ajili ya Awards [HASHTAG]#watakutafuta[/HASHTAG]
 
music its Business.kama ulikuwa hujuiii mzikii biashara ndioo huuo kiba anafanya mzikii wa kuuza sura mpaka leoo hiii
Domo na kiba hawana tofauti ya kipato. Wote wanaimba na wote waliuza au wanaendelea kuuza ngada... Bishaaa
 
Nataka Mimiload ushahidi wa unonesha idadi ya kura za washiriki wote, lakini nashindwa, yeyeto anaueweza kunisaidia anielekeze namna ya kuapload images.
You come with an allegation and yet you cant even prove it.
 
Back
Top Bottom