Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

 
basi tuangalie hata viewers youtube BADO na hiyo kaswida yako
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] baada ya jumamosi utaleta uzi hapa wamenunua tuzo mtv mama au kiba kafanyiw hujuma
 
Hata mtoto mdogo ukimuuliza diamond ni nani atakwambia ni msanii wa imataifa na ukimuuliza alikiba ni nani atakurudishia swali kwa kukuuliza kwani huyo ni mwendesha bodaboda wa wapi
 
Hebu tuangalie hizi takwimu...You tube subscribers-Kiba 64,000 VS Chibu 389,000 Instagram followers Kiba 1.5m VS Chibu 2.9m Music Videos ya Kiba inayoongoza kwa views kwa mwaka mmoja uliopita ni Mwana-views 8.5m VS Nana yenye views 16m, Nasema nawe views 10+m, Music videos za current, Aje ya Kiba views 4m ina miezi minne sasa VS Salome 5.5m yenye mwezi mmoja mpaka sasa.

Yaani unawashindanisha Usain Bolt na Peter Msechu alafu unasimama kabisa hadharani kulalamika kuwa Peter amehujumiwa?

Hujuma mnafanya nyie Mashabiki wake kwa kujua au bila kujua...mum support sio tu kukimbilia mitandaoni na kulalama.
 
HIZO TUZO HAZITOLEWI KWA KUTUMIA MIC? AU WAKATI INAKWENDA KUTANGAZWA YA KIBA MIC ILIZIMWA?
 
Mkuu kitanzania ukishafulian ndo kwa heri! nampongeza kiba alipo fikia wenzi mr nice walipotea kabisa
 
 
Kwelii kabisa mkuuu..
kufanikiwa sio kumshusha ambae yuko juu.
 
Katika kila mashabiki wanne wa Kiba kuna vichaa wanne.
 
Thank you
 
hivi huyo kibakuli achukue tuzo kwa ngopa ipi kwa mfano??,aendelee tu na kibwagizo chake cha 'yoooo',atashinda labda huko kigoma
 
Hv mbona mnazidisha majungu na chuki hv zitawasaidia nini....kumbukeni chuki haijengi maana kila tuzo anayo shindanishwa na diamond ikitokea Kiba kashindwa basi lawama tu na kudai kuna mchezo mchafu umefanyika hebu atumie hekima kidogo siku zote kuna kupata au kukosa kwani Kiba yeye ni nan mpaka atake mwenzake akose....yeye kama kakosa tuzo akaze buti na sio majungu tu...aaaaha mnakela bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…