Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Una hoja nzuri ilaumeharibu ulipoanza kuingiza majungu, Pia naona hujui role anayoplay huyo dmk, inshort huyo jamaa ni meneja wa WCB USA, Ndiyo huwa pia anapewa power ya kuamua wasanii gani waperfom, nenda kaone tayar harmonize kaitwa kurfom huu kama sio ushenzi ni nini? Alaf bado mnasema kuna free competition, watu wanatumia jina la kiba kuandaa tuzo kumbe majina ya washindi wanayo mfukoni, nimewashawasiliana na kiba, tunapiga stop hawa wapuuzi kutumia tena jina lake kwenye vituzo uchwara,[/QUOTE]

- 'Promota' anapewa uwezo kuamua nani ana perform!???tunzo kabisa???!!UNADANGANYA UMMA WA WATANZANIA NA SIO USTAARABU!
- Harmonize kuitwa ku perform ni ushenzi!??kwamba hakustahili??kwa vigezo vya waandaaji au kwa mahaba yako kwa Kiba??!!!unavijua vigezo vya msanii kupanda jukwaa lao!?
- Eti wanatumia jina la Kiba....seriously!??tatizo mnajiona wakubwa kuliko uhalisia ulivyo.mnampotosha na huyo dogo nae anaamini ndio maana kina Rayvany watatusua kimataifa wakati ye anaendelea kuzunguk na basi la Ruge.
- Tunzo uchwara!!....mara hii unalia kuhusu hujuma kwa tunzo ambazo mnaamini mnaweza kushinda na mnazitaka na mara ingine hizo hizo tuzo ni 'uchwara'!?

mara mmezimiwa Mic (sijui Sallam ni fundi mitambo siku hiz!?),mara tuzo zinanunuliwa..(na mmejua hili for years na bado mnakubali nominations!)...mara mnarogwa (sijui huwa mnawaonaje wanga wenu kama nyinyi pia sio wachawi..labda tu wa daraja la chini kidogo!?)
Hebu kuweni wanaume for once.wacheni kulialia na kusingizia wengine kua ni chanzo cha kushindwa kwenu.Man up,own ur failures and build on them for your better tommorow!
kunaweza kua Diamond mkubwa,Kiba mkubwa,Ryvany mkubwa,Barnaba mkubwa na wengine wengi na kusiwe shida...
WACHENI KULIA LIA AISEE...MNAKERA MNO!
 
Wewe kwel hujielew, hivi mwaka huu kuna nyimbo kweli ya kuifananisha na Aje ikiyoweza kutoboa miamba migumu na kubreak records itunes hadi oman, kukaa kwenye charts za kitamataifa kwa miezi dahar, kweli unajielewa ww au hii post uneandikiwa, acha kufananisha Aje na mambo ya kipuuzi
basi tuangalie hata viewers youtube BADO na hiyo kaswida yako
 
Hahahahaha hapa ndio unafiki wenu unapojulikana, ikitokea huo wimbo upate tuzo mtasema wimbo ni wa sautsol kiba hausiki ila ikitokea huo wimbo ukose tuzo mtasema kiba kakosa tuzo. Hahahahahahahaha wanafiki ninyi, tulia tuwanyooshe coz mlizoea vya kunyonga kwenye vi afrimma vyenu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] baada ya jumamosi utaleta uzi hapa wamenunua tuzo mtv mama au kiba kafanyiw hujuma
 
Hata mtoto mdogo ukimuuliza diamond ni nani atakwambia ni msanii wa imataifa na ukimuuliza alikiba ni nani atakurudishia swali kwa kukuuliza kwani huyo ni mwendesha bodaboda wa wapi
 
Hebu tuangalie hizi takwimu...You tube subscribers-Kiba 64,000 VS Chibu 389,000 Instagram followers Kiba 1.5m VS Chibu 2.9m Music Videos ya Kiba inayoongoza kwa views kwa mwaka mmoja uliopita ni Mwana-views 8.5m VS Nana yenye views 16m, Nasema nawe views 10+m, Music videos za current, Aje ya Kiba views 4m ina miezi minne sasa VS Salome 5.5m yenye mwezi mmoja mpaka sasa.

Yaani unawashindanisha Usain Bolt na Peter Msechu alafu unasimama kabisa hadharani kulalamika kuwa Peter amehujumiwa?

Hujuma mnafanya nyie Mashabiki wake kwa kujua au bila kujua...mum support sio tu kukimbilia mitandaoni na kulalama.
 
HIZO TUZO HAZITOLEWI KWA KUTUMIA MIC? AU WAKATI INAKWENDA KUTANGAZWA YA KIBA MIC ILIZIMWA?
 
Shardcole heshima yako Mkuu
Naomba nitofautine mawazo na wewe na naomba usikwazike tafadhali..

1. Lazima utambue kuwa AFRIMMA ni tuzo zenye hadhi kubwa na kamwe usanii wakitoto hivyo hauwezi kufanyika kiasi kwamba ati unaweza tu kuingia periscope na kujua kwamba wamecheat.. Ukitaka kujua ukubwa wa hizo tuzo angalia orodha ya Sponsors pia angalia jinsi wenzetu wa Afrika Magharibi wanavyoziheshimu!! Huo usanii wa kitoto hivyo ni impossible kufanyika

2. Tuzo za AFRIMMA na AEUSA haziko chini ya DMK kama unavyodai.! DMK ni promota wa matamasha tu na ukaribu wake na Diamond ni kwamba kama haufahamu yeye ndiye meneja wa diamond kwa USA. Lakini hana uwezo na wala sio anayemiliki tuzo za AFRIMMA na AEUSA.. Hii kafanye research tena

3. Kiba ni msanii mzuri ila ana inferiority complex! Nilichogundua ni kuwa akiwekwa category moja na diamond kwenye tuzo yoyote huwa ahamasishi watu wampigie kura coz anaamini diamond atachukua alafu ataonekana alikuwa anaitaka tuzo alafu ameikosa so suluhisho anaonaga bora asihamasishe kabisa.. Mfano tuzo hizi alikaa kimya lakini angalia jinsi anavyo hamasisha apigiwe kura MTV Ema coz kule yuko peke yake diamond hayupo!!
Kiba anatakiwa aanze kujiamini

4. Kiba pamoja na mashabiki na menejimenti yake wanatakiwa wakue kiakili na kimikakati! Waache utoto wa kutupia wengine lawama pale wanapofeli kimikakati na kushindwa kufikia malengo.. Wakiendeleza huu utoto baada ya mwaka mmoja watajikuta mtaani watu wanabishana kiba na harmonize nani mkali?? Hata Rayvany hadhi yake atajikuta iko juu kuliko yeye..
Mwanaume ukishindwa kufikia malengo unakaa chini unajitathimini sio kutupia wengine lawama.!!

Steve Jobs aliwahi kuwaambia wafanyakazi wa Apple kuwa wanatakiwa waache mawazo mgando kuwa ili Apple ifanikiwe inabidi Microsoft wafeli! Hayo ni mawazo finyu coz Apple inaweza kufanikiwa hata Microsoft nayo ikiwa inafanikiwa..
The same nawaasa team kiba, waache kufikiria kuwa ili kiba awe juu ati inabidi WCB washuke! Mimi nasema hapana, kiba anaweza akafanikiwa hata WCB ikiendelea kuwa juu.. Pia achukue WCB kama mfano kwake jinsi wenzake wanavyopanga mikakati na kuitekeleza! Hiyo ndio positive mentality
Mkuu kitanzania ukishafulian ndo kwa heri! nampongeza kiba alipo fikia wenzi mr nice walipotea kabisa
 
Wewe kwel hujielew, hivi mwaka huu kuna nyimbo kweli ya kuifananisha na Aje ikiyoweza kutoboa miamba migumu na kubreak records itunes hadi oman, kukaa kwenye charts za kitamataifa kwa miezi dahar, kweli unajielewa ww au hii post uneandikiwa, acha kufananisha Aje na mambo ya kipuuzi
1476802709857.jpg
 
Shardcole heshima yako Mkuu
Naomba nitofautine mawazo na wewe na naomba usikwazike tafadhali..

1. Lazima utambue kuwa AFRIMMA ni tuzo zenye hadhi kubwa na kamwe usanii wakitoto hivyo hauwezi kufanyika kiasi kwamba ati unaweza tu kuingia periscope na kujua kwamba wamecheat.. Ukitaka kujua ukubwa wa hizo tuzo angalia orodha ya Sponsors pia angalia jinsi wenzetu wa Afrika Magharibi wanavyoziheshimu!! Huo usanii wa kitoto hivyo ni impossible kufanyika

2. Tuzo za AFRIMMA na AEUSA haziko chini ya DMK kama unavyodai.! DMK ni promota wa matamasha tu na ukaribu wake na Diamond ni kwamba kama haufahamu yeye ndiye meneja wa diamond kwa USA. Lakini hana uwezo na wala sio anayemiliki tuzo za AFRIMMA na AEUSA.. Hii kafanye research tena

3. Kiba ni msanii mzuri ila ana inferiority complex! Nilichogundua ni kuwa akiwekwa category moja na diamond kwenye tuzo yoyote huwa ahamasishi watu wampigie kura coz anaamini diamond atachukua alafu ataonekana alikuwa anaitaka tuzo alafu ameikosa so suluhisho anaonaga bora asihamasishe kabisa.. Mfano tuzo hizi alikaa kimya lakini angalia jinsi anavyo hamasisha apigiwe kura MTV Ema coz kule yuko peke yake diamond hayupo!!
Kiba anatakiwa aanze kujiamini

4. Kiba pamoja na mashabiki na menejimenti yake wanatakiwa wakue kiakili na kimikakati! Waache utoto wa kutupia wengine lawama pale wanapofeli kimikakati na kushindwa kufikia malengo.. Wakiendeleza huu utoto baada ya mwaka mmoja watajikuta mtaani watu wanabishana kiba na harmonize nani mkali?? Hata Rayvany hadhi yake atajikuta iko juu kuliko yeye..
Mwanaume ukishindwa kufikia malengo unakaa chini unajitathimini sio kutupia wengine lawama.!!

Steve Jobs aliwahi kuwaambia wafanyakazi wa Apple kuwa wanatakiwa waache mawazo mgando kuwa ili Apple ifanikiwe inabidi Microsoft wafeli! Hayo ni mawazo finyu coz Apple inaweza kufanikiwa hata Microsoft nayo ikiwa inafanikiwa..
The same nawaasa team kiba, waache kufikiria kuwa ili kiba awe juu ati inabidi WCB washuke! Mimi nasema hapana, kiba anaweza akafanikiwa hata WCB ikiendelea kuwa juu.. Pia achukue WCB kama mfano kwake jinsi wenzake wanavyopanga mikakati na kuitekeleza! Hiyo ndio positive mentality
Kwelii kabisa mkuuu..
kufanikiwa sio kumshusha ambae yuko juu.
 
Hakuna tofauti ya Chadema na Alikiba yani ni kulalama tuuu
Sidhani kama vigezo pekee za hizo tuzo ni kura pekee.
Halafu kweli unahitaji kuwa na akili nyingi kuwa kwenye hiyo category Kiba asingeliweza kumshinda Diamond?
Hivi unahitaji kuwa mtaalam sana kujua kuwa Diamond ni zaidi ya Alikiba.

Sasa nimeanza kuamini Kiba na mashabiki wake wana matatizo ya kisaikolojia
Katika kila mashabiki wanne wa Kiba kuna vichaa wanne.
 
Shardcole heshima yako Mkuu
Naomba nitofautine mawazo na wewe na naomba usikwazike tafadhali..

1. Lazima utambue kuwa AFRIMMA ni tuzo zenye hadhi kubwa na kamwe usanii wakitoto hivyo hauwezi kufanyika kiasi kwamba ati unaweza tu kuingia periscope na kujua kwamba wamecheat.. Ukitaka kujua ukubwa wa hizo tuzo angalia orodha ya Sponsors pia angalia jinsi wenzetu wa Afrika Magharibi wanavyoziheshimu!! Huo usanii wa kitoto hivyo ni impossible kufanyika

2. Tuzo za AFRIMMA na AEUSA haziko chini ya DMK kama unavyodai.! DMK ni promota wa matamasha tu na ukaribu wake na Diamond ni kwamba kama haufahamu yeye ndiye meneja wa diamond kwa USA. Lakini hana uwezo na wala sio anayemiliki tuzo za AFRIMMA na AEUSA.. Hii kafanye research tena

3. Kiba ni msanii mzuri ila ana inferiority complex! Nilichogundua ni kuwa akiwekwa category moja na diamond kwenye tuzo yoyote huwa ahamasishi watu wampigie kura coz anaamini diamond atachukua alafu ataonekana alikuwa anaitaka tuzo alafu ameikosa so suluhisho anaonaga bora asihamasishe kabisa.. Mfano tuzo hizi alikaa kimya lakini angalia jinsi anavyo hamasisha apigiwe kura MTV Ema coz kule yuko peke yake diamond hayupo!!
Kiba anatakiwa aanze kujiamini

4. Kiba pamoja na mashabiki na menejimenti yake wanatakiwa wakue kiakili na kimikakati! Waache utoto wa kutupia wengine lawama pale wanapofeli kimikakati na kushindwa kufikia malengo.. Wakiendeleza huu utoto baada ya mwaka mmoja watajikuta mtaani watu wanabishana kiba na harmonize nani mkali?? Hata Rayvany hadhi yake atajikuta iko juu kuliko yeye..
Mwanaume ukishindwa kufikia malengo unakaa chini unajitathimini sio kutupia wengine lawama.!!

Steve Jobs aliwahi kuwaambia wafanyakazi wa Apple kuwa wanatakiwa waache mawazo mgando kuwa ili Apple ifanikiwe inabidi Microsoft wafeli! Hayo ni mawazo finyu coz Apple inaweza kufanikiwa hata Microsoft nayo ikiwa inafanikiwa..
The same nawaasa team kiba, waache kufikiria kuwa ili kiba awe juu ati inabidi WCB washuke! Mimi nasema hapana, kiba anaweza akafanikiwa hata WCB ikiendelea kuwa juu.. Pia achukue WCB kama mfano kwake jinsi wenzake wanavyopanga mikakati na kuitekeleza! Hiyo ndio positive mentality
Thank you
 
hivi huyo kibakuli achukue tuzo kwa ngopa ipi kwa mfano??,aendelee tu na kibwagizo chake cha 'yoooo',atashinda labda huko kigoma
 
Habari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.

Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",

Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.

Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male",

Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.

Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?

Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo,

kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.

[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
Hv mbona mnazidisha majungu na chuki hv zitawasaidia nini....kumbukeni chuki haijengi maana kila tuzo anayo shindanishwa na diamond ikitokea Kiba kashindwa basi lawama tu na kudai kuna mchezo mchafu umefanyika hebu atumie hekima kidogo siku zote kuna kupata au kukosa kwani Kiba yeye ni nan mpaka atake mwenzake akose....yeye kama kakosa tuzo akaze buti na sio majungu tu...aaaaha mnakela bhana.
 
Back
Top Bottom