Acheni kumdanganya Kiba, mwambieni ukweli mziki wake hauvutii waskilizaji.Kama hautambui ubora wa kiba, pole yako ila boss wako anautambua.
Tulia mkuu maana hueleweki.
Mawazo mgando.
Acha utoto
Hv mbona mnazidisha majungu na chuki hv zitawasaidia nini....kumbukeni chuki haijengi maana kila tuzo anayo shindanishwa na diamond ikitokea Kiba kashindwa basi lawama tu na kudai kuna mchezo mchafu umefanyika hebu atumie hekima kidogo siku zote kuna kupata au kukosa kwani Kiba yeye ni nan mpaka atake mwenzake akose....yeye kama kakosa tuzo akaze buti na sio majungu tu...aaaaha mnakela bhana.
hivi huyo kibakuli achukue tuzo kwa ngopa ipi kwa mfano??,aendelee tu na kibwagizo chake cha 'yoooo',atashinda labda huko kigoma
Hebu tuangalie hizi takwimu...You tube subscribers-Kiba 64,000 VS Chibu 389,000 Instagram followers Kiba 1.5m VS Chibu 2.9m Music Videos ya Kiba inayoongoza kwa views kwa mwaka mmoja uliopita ni Mwana-views 8.5m VS Nana yenye views 16m, Nasema nawe views 10+m, Music videos za current, Aje ya Kiba views 4m ina miezi minne sasa VS Salome 5.5m yenye mwezi mmoja mpaka sasa.
Yaani unawashindanisha Usain Bolt na Peter Msechu alafu unasimama kabisa hadharani kulalamika kuwa Peter amehujumiwa?
Hujuma mnafanya nyie Mashabiki wake kwa kujua au bila kujua...mum support sio tu kukimbilia mitandaoni na kulalama.
Acheni unazi nyie team kibakuli tatizo lenu kura hampigi mnapenda kutukana tu na kuaminishwa uchawi na kibakuli wenu hapa tuzo tu majungu kwenu
Ivii bado unalala kwa alikiba au jamaa katafuta mjanja mwingineKingkiba kahujumiwa, ukweli lazima usemwe.
Itafikia hatua hata kwenye tuzo za MTVema ambazo diamond hashiriki tusishangae Kiba akishindwa akamtupia lawama Diamond kuwa amechangia yeye kukosa tuzo hiyo....acheni kutafuta chuki za lazima bhana
Endelea kuota hivyo hivyo wakati graph ya msanii wako inazidi kudidimia.
Ivii bado unalala kwa alikiba au jamaa katafuta mjanja mwingine
teh teh teh,hivi huyo jamaa anakulipa kiasi gani kumtetea humu JF???