Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Itafikia hatua hata kwenye tuzo za MTVema ambazo diamond hashiriki tusishangae Kiba akishindwa akamtupia lawama Diamond kuwa amechangia yeye kukosa tuzo hiyo....acheni kutafuta chuki za lazima bhana
 
Hv mbona mnazidisha majungu na chuki hv zitawasaidia nini....kumbukeni chuki haijengi maana kila tuzo anayo shindanishwa na diamond ikitokea Kiba kashindwa basi lawama tu na kudai kuna mchezo mchafu umefanyika hebu atumie hekima kidogo siku zote kuna kupata au kukosa kwani Kiba yeye ni nan mpaka atake mwenzake akose....yeye kama kakosa tuzo akaze buti na sio majungu tu...aaaaha mnakela bhana.

Kingkiba kahujumiwa, ukweli lazima usemwe.
 
hivi huyo kibakuli achukue tuzo kwa ngopa ipi kwa mfano??,aendelee tu na kibwagizo chake cha 'yoooo',atashinda labda huko kigoma

Endelea kuota hivyo hivyo wakati graph ya msanii wako inazidi kudidimia.
 
Acheni unazi nyie team kibakuli tatizo lenu kura hampigi mnapenda kutukana tu na kuaminishwa uchawi na kibakuli wenu hapa tuzo tu majungu kwenu
 
Hebu tuangalie hizi takwimu...You tube subscribers-Kiba 64,000 VS Chibu 389,000 Instagram followers Kiba 1.5m VS Chibu 2.9m Music Videos ya Kiba inayoongoza kwa views kwa mwaka mmoja uliopita ni Mwana-views 8.5m VS Nana yenye views 16m, Nasema nawe views 10+m, Music videos za current, Aje ya Kiba views 4m ina miezi minne sasa VS Salome 5.5m yenye mwezi mmoja mpaka sasa.

Yaani unawashindanisha Usain Bolt na Peter Msechu alafu unasimama kabisa hadharani kulalamika kuwa Peter amehujumiwa?

Hujuma mnafanya nyie Mashabiki wake kwa kujua au bila kujua...mum support sio tu kukimbilia mitandaoni na kulalama.

Usidanganyike na views za kununua YouTube, Ubora wa ngoma haupimwi na YouTube, mbona kwenye mauzo ya downloads mpo dhaifu?

kwanza YouTube is nothing, hata ngoma za wachina zina views weng tu, hata ww hapo ukivua nguo utupie video YouTube utapata views wengi.
 
Acheni unazi nyie team kibakuli tatizo lenu kura hampigi mnapenda kutukana tu na kuaminishwa uchawi na kibakuli wenu hapa tuzo tu majungu kwenu

Hujielewi, kura zinapigwa sana sema hujuma nyingi.
 
Itafikia hatua hata kwenye tuzo za MTVema ambazo diamond hashiriki tusishangae Kiba akishindwa akamtupia lawama Diamond kuwa amechangia yeye kukosa tuzo hiyo....acheni kutafuta chuki za lazima bhana

MTVEMA tuzo za wazungu hazina figisu hizo kama viafrimma
 
Back
Top Bottom