CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Nasikia ana dharau sana ndiyo maana hawezi kaa na mameneja ila hii albamu akijipanga akapata watu wa lobbying inampeleka mbali sana otherwise sidhani kama atakuja kufanya albamu tamu hivi, nyimbo zote ni moto, beats zimetulia kibongo fleva kabisaKama ni hivyo basi atabahatika
Hehe..haya Alikiba tumesikiaNasikia ana dharau sana ndiyo maana hawezi kaa na mameneja ila hii albamu akijipanga akapata watu wa lobbying inampeleka mbali sana otherwise sidhani kama atakuja kufanya albamu tamu hivi ,nyimbo zote ni moto ,beats zimetulia kibongo fleva kabisa
Watu hawajui tu kuwa Kiba Ana Nyodo, Mjivuni wa ndani kwa ndani na Madharau.... Kuliko hata Domo!Nasikia ana dharau sana ndiyo maana hawezi kaa na mameneja ila hii albamu akijipanga akapata watu wa lobbying inampeleka mbali sana otherwise sidhani kama atakuja kufanya albamu tamu hivi ,nyimbo zote ni moto ,beats zimetulia kibongo fleva kabisa
Ngoja nikasikilize nijilizisheNasikia ana dharau sana ndiyo maana hawezi kaa na mameneja ila hii albamu akijipanga akapata watu wa lobbying inampeleka mbali sana otherwise sidhani kama atakuja kufanya albamu tamu hivi ,nyimbo zote ni moto ,beats zimetulia kibongo fleva kabisa
Ka post nyimbo zote ziko you tube kwenye account yake ndo nazi download hapa, kamwe hatakuja tena kufanya albamu nzuri hiviNgoja nikasikilize nijilizishe
Juzi nimemsifia Terrence creative comedian wa kenya nikaitwa Terrence, nikisifia simba naitwa chawa wa Mo, dah haya banaHehe..haya Alikiba tumesikia
Asante mkuu kwa kutujuza ngoja tukamuongezee Views na downloadka post nyimbo zote ziko you tube kwenye account yake ndo nazi download hapa, kamwe hatakuja tena kufanya albamu nzuri hivi
Ndiomaana haendelei kumzidi Nasibu, Kiba anavuta Sana bange, alipanga kwenye nyumba ya mdogo wangu kule beach.Watu hawajui tu kuwa kiba Ana Nyodo, Mjivuni wa ndani kwa ndani na Madharau.... Kuliko hata Domo!
Kwa frank? sikujua kama jamaa anavuta,duhNdiomaana haendelei kumdhidi Nasibu, Kiba anavuta Sana bange, alipanga kwenye nyumba ya mdogo wangu kule beach ,
Bange ndio inamfanya hawe na dharau huyo kijana
Aah, hatari, anakula bange vibaya sanaaaaKwa frank? sikujua kama jamaa anavuta,duh
Yaan ushajua hatofanya albam ya hivyo tena?ka post nyimbo zote ziko you tube kwenye account yake ndo nazi download hapa, kamwe hatakuja tena kufanya albamu nzuri hivi
Duuuh! ndumu tena?Ndiomaana haendelei kumzidi Nasibu, Kiba anavuta Sana bange, alipanga kwenye nyumba ya mdogo wangu kule beach, bange ndio inamfanya hawe na dharau huyo kijana
Claasic kama hizi haziwezagi kujirudia hata wasanii wakubwa duniani huwa wanabahatishaga classic album moja tuYaan ushajua hatofanya albam ya hivyo tena?
Ishindikane vipi K naan alikuwa ana hustle tu hapo nairobi msomali yule lakini nyimbo yake ilikuwa kwenye anthems za world cup 2010, ukijua nyimbo za world cup huwa zikoje hautapata tabu kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wabongo bhana..
Kasha chungulia future ya kiba teyari mungu mtu huyo πππYaan ushajua hatofanya albam ya hivyo tena?