Ali Kiba akijipanga hii nyimbo hata FIFA wanampa hela for World Cup 2022

nahisi hawa wakenya yule mhindi wa kenya nafikiri wanaitwa ziki music ndiyo wana i promote labda this time atafika mbali, hata mastering imekuwa bomba sana kazi ina quality kubwa
 
Biti la kibabe sana
beat zote kagonga producer anaitwa Yogo nilkuwa sijawahi kumsikia kabla,guitar kapiga Kenny, sema ile mastering iliyofanyika Nigeria imesaidia kuongeza quality ya beats na vocal
 
ushahamisha goli
Sijahimisha chochote ujumbe wapost yangu Ni kwamba tukimkosoa mtu sio kwamba tunamzidi..nimetoa mfano mashabiki wa soka wanapomkosoa kocha wa Man U-ole..sio kwamba mashabiki wote Ni makocha wa wazuri kuliko yeye..
Mimi pia Ni shabiki wa kiba tena sana..nitendelea kumkosoa japo simzidi kitu..
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…