Ali Kiba akimbia tuzo za AFRIMA

Kweli kabisa hii ilikuwa nafasi yake kuperform na kuonekana Africa na pia angekuwa mjanja angepiga na media tour kujitambulisha yeye na kazi zke maana ukiiteka Nigeria kidogo tu ndo step ya kwenda kuiteka africa

Kwani ile media tour ya collabo ya mondy na Neyo - mapenzi pesa, ilizaa matunda gani? Hahahaha
 
Waelezee hao, yan umenifurahisha sana,
Ndio maana nikawaambia wastop kuabuse the word INTERNATIONAL.
 
Walienda wapi bukoba au cjwahi ckia iyo media tour tukutane baadae #afrimaawards

Hahahaha wazee wa category ya Video bora ya mwaka, hamna pengine pa kuchomokea.

Tangu Nana imeshika chat huko station za nje je imemuingizia mondy faida gani huko nje zaidi ya sifa za insta.
Harmonize kabeba nyota yake, sion mtaniambia.
 
kwani kiba hatak kuambiwa ni msanii mwenye video bora ya mwaka,mbona anamalza hela kwenda sauz kwa kina godfather kama hatak angebak kwa kina adam juma au ndo ule mwendelezo wa SIZITAKI MBICHI HIZI
 
kwani kiba hatak kuambiwa ni msanii mwenye video bora ya mwaka,mbona anamalza hela kwenda sauz kwa kina godfather kama hatak angebak kwa kina adam juma au ndo ule mwendelezo wa SIZITAKI MBICHI HIZI

Na kurudia kutengeneza video pia usisahau.
 
kedrick bwana yani hujaacha utoto tu sasa kwani kiba toka alivyorudi katika game amehudhuria tuzo gani
Hata hiyo Kilimanjaro music awards hakuwepo na alishinda tuzo nyingi sasa wewe unaakili au matope #nagharamia
 
Last edited by a moderator:
kwani kiba hatak kuambiwa ni msanii mwenye video bora ya mwaka,mbona anamalza hela kwenda sauz kwa kina godfather kama hatak angebak kwa kina adam juma au ndo ule mwendelezo wa SIZITAKI MBICHI HIZI
Kinachomfanya domo ahudhurie kila tuzo ni biashara yake ya unga tu hakuna kingine ila ni msanii wa kawaida sana yule kuliko mo music au baraka da prince
 
uyo pilau ndiomaana haendelei kaendekeza njaa sana dogo ananjaa za ovyo sana kibakuli
 
Waelezee hao, yan umenifurahisha sana,
Ndio maana nikawaambia wastop kuabuse the word INTERNATIONAL.

Diamond n international ndo maana alibeba tuzo za mtvema zilizofanyika Italy Shardcole unajua thamami na maana ya mtvema sio MTV mama Africa ile n tuzo za kimatifa zilee eeh
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha wazee wa category ya Video bora ya mwaka, hamna pengine pa kuchomokea.

Tangu Nana imeshika chat huko station za nje je imemuingizia mondy faida gani huko nje zaidi ya sifa za insta.
Harmonize kabeba nyota yake, sion mtaniambia.

Haaah umesahau best live act MTV mama, vipi best world act mtvema best Africa artist afrimma, best east Africa artist afrimma haaah hata mwaka haujaisha unajifanya umesahau
 
pwilo mbona mwazoni alisema ata shiriki na kuperform kwny afrima awards na ela ya advance akategenezea video ya nagharamikia ikatoka mbaya ilabidi waanze Ku shoot tena
 
Last edited by a moderator:
Akiwa huko kapokea hii

View attachment 305919
regrann from diamondplatnumz - Earlier today when i was receiving my trophy from Africa Youth Choice Awards @Ayca_Africa
athe the ARTIST OF THE YEAR... thanks alot my Fans for the Votes this is for you!!... Can't wait for my Performance tonight at @afrimawards Where are my Naija fans at ????? please tag them🙏
(Mapema leo nlipokuwa napokea tunzo yangu niloshinda Nchini Nigeria kama Msanii bora wa Mwaka Africa kwenye tunzo ziitwazo "CHAGUO LA VIJANA AFRICA @Ayca_Africa Usisahau pia kijana wako usiku wa leo ntakuwa nakuwakilisha kwenye Tunzo za @afrimawards hapa Nigeria) #Regrann
 
Last edited by a moderator:
Nyie ni washamba tu mnakaa mnapiga kelele za kingese hapa kuhusu Diamond na Allykiba..mafa..la nyie.unamchochoe vitu vya kingese
 
View attachment 305947

from diamondplatnumz - Jus wanted to let you know that we have won the first one BEST EAST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR! this is for you my fans... thanks for the Votes!!!🙏 thanks alot the_speshoz for this Suit and many thanks to my brother @jm_international_collection for the scarf and Tie! #AfrimaAwards
 
Last edited by a moderator:

hii sasa sifa yaani huyu jamaa anakera kilasiku yeye ..blaza muonee huruma kiba ameshanyooka kitambo
 
Last edited by a moderator:
hii sasa sifa yaani huyu jamaa anakera kilasiku yeye ..blaza muonee huruma kiba ameshanyooka kitambo

Kiba sio levo ya Chibu kabisa, sababu hajawai kufika alipo Chibu hata nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…