kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,080 Reaction score 4,914 Nov 16, 2015 Thread starter #61 Bill of Quantity said: au labda kiba amesharidhika na mfumo unaomuongoza? Click to expand... Kiba anadharau na mapozi Sana mfano Davido alitangaza collabo na kiba hadi Leo hawajimba bado, Davido baada mwezi akatangaza kolabo na Joh makini unambiwa washarekodi na ngoma ishamalizika kiba inabidi abadilike akitaka kuleta changamoto kwa diamond
Bill of Quantity said: au labda kiba amesharidhika na mfumo unaomuongoza? Click to expand... Kiba anadharau na mapozi Sana mfano Davido alitangaza collabo na kiba hadi Leo hawajimba bado, Davido baada mwezi akatangaza kolabo na Joh makini unambiwa washarekodi na ngoma ishamalizika kiba inabidi abadilike akitaka kuleta changamoto kwa diamond
Carbondioxide JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 733 Reaction score 195 Nov 16, 2015 #62 DMOnd sasa hii tu machi kila siku wewe tu. Hongera zake,cema upande wa pili jeuri tu ukweli wanaujua wanajiweka sintofahamu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
DMOnd sasa hii tu machi kila siku wewe tu. Hongera zake,cema upande wa pili jeuri tu ukweli wanaujua wanajiweka sintofahamu.