Ali Kiba akimbia tuzo za AFRIMA

Ali Kiba akimbia tuzo za AFRIMA

au labda kiba amesharidhika na mfumo unaomuongoza?

Kiba anadharau na mapozi Sana mfano Davido alitangaza collabo na kiba hadi Leo hawajimba bado, Davido baada mwezi akatangaza kolabo na Joh makini unambiwa washarekodi na ngoma ishamalizika kiba inabidi abadilike akitaka kuleta changamoto kwa diamond
 
DMOnd sasa hii tu machi kila siku wewe tu.
Hongera zake,cema upande wa pili jeuri tu ukweli wanaujua wanajiweka sintofahamu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom