[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimechekaaLabda mil 150 za Zimbambwe.
Nooooooonsense kwakweli.If so kwann analeta sababu za kijinga? We are not saying kiba hakuperform vizuri au fans hawakumpenda no... tunachokataa n kumwingiza salam k kama mmoja wa watu waliosa babisha yeye aperform ordinary et kisa mic ilizmwana mzimaji akawa salam k.... this is non sense bro
Povu limemjaa huyo ndio maana hata video ameandika bideo.Acha uongo ww video zipo zinaonyesha kabisa jamaa kaflop vbaya mno show kama yupo msibani ndo maana wakamzimia mic
Usije ukammeza tuuuKhhaaaaaa iv mbona unashindwa kujenge logic padogo iv jamaa??[emoji20]
Kwan wewe unamfahamu salam k kama nani kwenye industry ya mziki? Na kumbuka kama asingehitajika pale basi wasinge mruhusu aende backstage. .. acha uswahili na wewe bwana aghh
Hawa jamaa wote ni wachawi. Kiba ni mchawi hivyo ni rahisi kumjua mchawi mwenzie.
Anyway on serious note ... huyu manager wa Diamond alionekana backstage kwanini??
Kiba katia huruma sana anavyoongea hapo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaumwa kichwa kuargue na timu king, wachache sana kati yao wenye uwezo mzuri wakufikiri, hesabu rahisi 1+1= 2 lakini zimewashinda, yaani mtu kakomaa kabisa eti SK alifata nini kwenye show ya kiba [emoji23] like seriously! Na ni nani aliwadanganya ile ni show ya kiba? SMFH (watanisamehe kama nimewavunjia heshima)Khhaaaaaa iv mbona unashindwa kujenge logic padogo iv jamaa??[emoji20]
Kwan wewe unamfahamu salam k kama nani kwenye industry ya mziki? Na kumbuka kama asingehitajika pale basi wasinge mruhusu aende backstage. .. acha uswahili na wewe bwana aghh
Hata hujawavunjia heshima, usijali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaumwa kichwa kuargue na timu king, wachache sana kati yao wenye uwezo mzuri wakufikiri, hesabu rahisi 1+1= 2 lakini zimewashinda, yaani mtu kakomaa kabisa eti SK alifata nini kwenye show ya kiba [emoji23] like seriously! Na ni nani aliwadanganya ile ni show ya kiba? SMFH (watanisamehe kama nimewavunjia heshima)
Akioa ataacha utoto.Mwenzie ana majukumu.akipunguza uswahil uenda atafikia mafaikio ya mwenzake
ila pia ashukuru kulinganishwa na mwenzake, maana wapo wenye kuitafuta hyo nafas hawaipat
Kama kawaida mzee wakulalamikaAlikiba sehemu akifeli lazima atafute wa kumtupia lawama huwa achukulii kama challage ili imu motivate kufanya vizuri zaidi.
Angalia hapa[emoji116]
View attachment 415750
Heshima ipite njia juu tafadhali....naona unavuka boda na kuingia nyumba zetu za ibada kwa dharau na kejeli...hizo Salome na aje zenu hatufundishwi na kamwe hazitokaa zifundishwe madrasat....paka wa maziwa weye.Ndio tatizo la kujifunzia muziki madrasa, poor Kiba
Wallah nimechekaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!ahsante mkuu kwa kumaliza siku yangu vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]Heshima ipite njia juu tafadhali....naona unavuka boda na kuingia nyumba zetu za ibada kwa dharau na kejeli...hizo Salome na aje zenu hatufundishwi na kamwe hazitokaa zifundishwe madrasat....paka wa maziwa weye.
You nailed it buddy!!Kuna mambo mengine kama haya ndio huwa tunasema uswahili. Alikiba anashangaa meneja wa Diamond kukaa backstage, na eti anahoji kwa nini asingekaa VIP kama ishu ni kuona shoo. Hivyo kwa mtazamo wake yeye Alikiba anahisi meneja wa Diamond ndiye aliyezima Mic. Katika hali ya kawaida tu hivi inawezekana meneja wa Diamond akazima Mic kwenye hughuli isiyo yake? Anyway tuachane na uswahili wa Alikiba na pengine ndio maana anashindwa kufanya mambo makubwa katika muziki pamoja na ukongwe alionao katika muziki.
Kazi ya kuwa meneja wa mwanamziki ni kubwa sana kama unamua kujishughulisha na kuhakikisha mwanamziki wako unayemsimamia anafika mbali. Sote tunaelewa ni jinsi gani WCB walivyo wanzuri wa kutumia kila aina ya upenyo wanaopata katika kuhakikisha kazi zao zinafika mbali. Chris Brown kaja Kenya pamoja na uongozi wake, hivi mlitegemea Sallam akae tu ametulia, au akae VIP ametulia anangalia shoo badala ya kutengeneza contacts na uongozi wa Chris Brown? Hivi Alikiba anajua kweli namna connections na wasanii wa nje zinavyopatikana? Anajiuliza why Sallam akae backstage, heee sasa alifikiri Sallam ataongea na uongozi wa Chris Brown wapi? Mwenzake anahangaika kufanya connections na wasanii wakubwa yeye anakaa kufikiria kwamba mtu anaweza kusafiri kutoka Dar hadi Mombasa kwa ajili ya kwenda kuchomoa Mic. Huu ufinyu wa mawazo ndio unamfanya kila siku aishie kulalamika na kuhisi anahujumiwa. Leo tunapopewa ratiba ya tour ya Diamond na Neyo UK si kazi ambayo imefanyika kitoto, bali watu wametumia fursa na nafasi zinazojitokeza kuweza kutengeneza connections kama hizo. Au tumeshasahau ni namna gani Neyo na Diamond walikutana? Au hatujajua ni namna gani Diamond na Swiss Beats wamekutana?
Kifupi Alikiba ana safari ndefu ya kujifunza kuhusu namna ya kutafuta soko la muziki. Akiendelea kuwa na fikra mgando kama hizo ataishia kulalamika tu na mwishowe atashindwa kufanya vinzuri kwa sababu ya kutaka kushindana na Diamond. Mwenzake Diamond sasa hivi anafocus kwenye soko ya Ulaya maana Afrika ameshamaliza, America ameshaingia, ila yeye Alikiba anawaza kwamba mtu atapoteza hela zake kwenda Mombasa kuchomoa Mic. Daaah kweli tunatofautiana .
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Upinzani kwenye Kila kitu ili mtu update changamoto akili isilale, ila upinzani wa kilipumba lipumba ndio haufai kama huu wa kizimiana mic