Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

If so kwann analeta sababu za kijinga? We are not saying kiba hakuperform vizuri au fans hawakumpenda no... tunachokataa n kumwingiza salam k kama mmoja wa watu waliosa babisha yeye aperform ordinary et kisa mic ilizmwana mzimaji akawa salam k.... this is non sense bro
Nooooooonsense kwakweli.
 
Khhaaaaaa iv mbona unashindwa kujenge logic padogo iv jamaa??[emoji20]
Kwan wewe unamfahamu salam k kama nani kwenye industry ya mziki? Na kumbuka kama asingehitajika pale basi wasinge mruhusu aende backstage. .. acha uswahili na wewe bwana aghh
Usije ukammeza tuuu
 
akipunguza uswahil uenda atafikia mafanikio ya mwenzake

ila pia ashukuru kulinganishwa na mwenzake, maana wapo wenye kuitafuta hyo nafas hawaipat
 
Khhaaaaaa iv mbona unashindwa kujenge logic padogo iv jamaa??[emoji20]
Kwan wewe unamfahamu salam k kama nani kwenye industry ya mziki? Na kumbuka kama asingehitajika pale basi wasinge mruhusu aende backstage. .. acha uswahili na wewe bwana aghh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaumwa kichwa kuargue na timu king, wachache sana kati yao wenye uwezo mzuri wakufikiri, hesabu rahisi 1+1= 2 lakini zimewashinda, yaani mtu kakomaa kabisa eti SK alifata nini kwenye show ya kiba [emoji23] like seriously! Na ni nani aliwadanganya ile ni show ya kiba? SMFH (watanisamehe kama nimewavunjia heshima)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaumwa kichwa kuargue na timu king, wachache sana kati yao wenye uwezo mzuri wakufikiri, hesabu rahisi 1+1= 2 lakini zimewashinda, yaani mtu kakomaa kabisa eti SK alifata nini kwenye show ya kiba [emoji23] like seriously! Na ni nani aliwadanganya ile ni show ya kiba? SMFH (watanisamehe kama nimewavunjia heshima)
Hata hujawavunjia heshima, usijali
 
Heshima ipite njia juu tafadhali....naona unavuka boda na kuingia nyumba zetu za ibada kwa dharau na kejeli...hizo Salome na aje zenu hatufundishwi na kamwe hazitokaa zifundishwe madrasat....paka wa maziwa weye.
Wallah nimechekaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!ahsante mkuu kwa kumaliza siku yangu vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Meneger wako ,kasema tatizo ulikuwa mda ,sasa cha kumlaumu meneger wa mond ,kiko wapi ,kweli Leo ndoo tumejua kuwa wewe kila kitu kabla hujafanya na kunena unamfikiria Diamond, usinene kitu kabla hujafikiria kwanza
 
Kuna mambo mengine kama haya ndio huwa tunasema uswahili. Alikiba anashangaa meneja wa Diamond kukaa backstage, na eti anahoji kwa nini asingekaa VIP kama ishu ni kuona shoo. Hivyo kwa mtazamo wake yeye Alikiba anahisi meneja wa Diamond ndiye aliyezima Mic. Katika hali ya kawaida tu hivi inawezekana meneja wa Diamond akazima Mic kwenye hughuli isiyo yake? Anyway tuachane na uswahili wa Alikiba na pengine ndio maana anashindwa kufanya mambo makubwa katika muziki pamoja na ukongwe alionao katika muziki.

Kazi ya kuwa meneja wa mwanamziki ni kubwa sana kama unamua kujishughulisha na kuhakikisha mwanamziki wako unayemsimamia anafika mbali. Sote tunaelewa ni jinsi gani WCB walivyo wanzuri wa kutumia kila aina ya upenyo wanaopata katika kuhakikisha kazi zao zinafika mbali. Chris Brown kaja Kenya pamoja na uongozi wake, hivi mlitegemea Sallam akae tu ametulia, au akae VIP ametulia anangalia shoo badala ya kutengeneza contacts na uongozi wa Chris Brown? Hivi Alikiba anajua kweli namna connections na wasanii wa nje zinavyopatikana? Anajiuliza why Sallam akae backstage, heee sasa alifikiri Sallam ataongea na uongozi wa Chris Brown wapi? Mwenzake anahangaika kufanya connections na wasanii wakubwa yeye anakaa kufikiria kwamba mtu anaweza kusafiri kutoka Dar hadi Mombasa kwa ajili ya kwenda kuchomoa Mic. Huu ufinyu wa mawazo ndio unamfanya kila siku aishie kulalamika na kuhisi anahujumiwa. Leo tunapopewa ratiba ya tour ya Diamond na Neyo UK si kazi ambayo imefanyika kitoto, bali watu wametumia fursa na nafasi zinazojitokeza kuweza kutengeneza connections kama hizo. Au tumeshasahau ni namna gani Neyo na Diamond walikutana? Au hatujajua ni namna gani Diamond na Swiss Beats wamekutana?

Kifupi Alikiba ana safari ndefu ya kujifunza kuhusu namna ya kutafuta soko la muziki. Akiendelea kuwa na fikra mgando kama hizo ataishia kulalamika tu na mwishowe atashindwa kufanya vinzuri kwa sababu ya kutaka kushindana na Diamond. Mwenzake Diamond sasa hivi anafocus kwenye soko ya Ulaya maana Afrika ameshamaliza, America ameshaingia, ila yeye Alikiba anawaza kwamba mtu atapoteza hela zake kwenda Mombasa kuchomoa Mic. Daaah kweli tunatofautiana .
You nailed it buddy!!
Cheerz!!!

[emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom