Williamking
Member
- May 11, 2013
- 80
- 94
Thats mkuuMkuu hapo umeua kila kitu!
Kiukweli hata mimi nilikuwa nawakubali wote lakini nikaja kugundua kiba anamtengenezea diamond majungu,sasa hivi sitaki hata kusikia nyimbo za kiba na hata ikitokea naangalia video ya wimbo wake basi no katika mtazamo wa negativity yaani naangalia kwa kukosia tu,sasa ngoja nisikie wimbo wa diamond au video yake,huwa na pause kwa dakika kadhaa kuangalia video yake in positive attitude!
Na Diamond ataendelea kufanikiwa ktk mziki wake kama ameweza kuviruka vigingi vya zile team za wadada aka team wema sijui team kidoti plus team kiba na bado ananyoosha tu mafanikio yake,huyu muache aendelee kulalamika mwenzie kaenda kuunga biashara na CB yeye aliridhika kuperform jukwaa atakaloperform CB.
Umeena