Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Mkuu hapo umeua kila kitu!
Kiukweli hata mimi nilikuwa nawakubali wote lakini nikaja kugundua kiba anamtengenezea diamond majungu,sasa hivi sitaki hata kusikia nyimbo za kiba na hata ikitokea naangalia video ya wimbo wake basi no katika mtazamo wa negativity yaani naangalia kwa kukosia tu,sasa ngoja nisikie wimbo wa diamond au video yake,huwa na pause kwa dakika kadhaa kuangalia video yake in positive attitude!
Na Diamond ataendelea kufanikiwa ktk mziki wake kama ameweza kuviruka vigingi vya zile team za wadada aka team wema sijui team kidoti plus team kiba na bado ananyoosha tu mafanikio yake,huyu muache aendelee kulalamika mwenzie kaenda kuunga biashara na CB yeye aliridhika kuperform jukwaa atakaloperform CB.
Thats mkuu
Umeena
 
Upinzani kwenye Kila kitu ili mtu update changamoto akili isilale, ila upinzani wa kilipumba lipumba ndio haufai kama huu wa kizimiana mic
 
We ka underperform? Ivi uliangalia short clip bideo ukaona watu walivyokuwa high na kiba? Nahisi hata huyo wizkid alijiuliza huyu kiba anaupepo gani?
Big up king kwa heshima uliyoweka japo wavimba macho hawakosi
If so kwann analeta sababu za kijinga? We are not saying kiba hakuperform vizuri au fans hawakumpenda no... tunachokataa n kumwingiza salam k kama mmoja wa watu waliosa babisha yeye aperform ordinary et kisa mic ilizmwana mzimaji akawa salam k.... this is non sense bro
 
We ka underperform? Ivi uliangalia short clip bideo ukaona watu walivyokuwa high na kiba? Nahisi hata huyo wizkid alijiuliza huyu kiba anaupepo gani?
Big up king kwa heshima uliyoweka japo wavimba macho hawakosi
Acha uongo ww video zipo zinaonyesha kabisa jamaa kaflop vbaya mno show kama yupo msibani ndo maana wakamzimia mic
 
usiwe na haraka maana kuna kesi ya kuhujumu uchumi ambayo salam sk kaifanya kwa kiba utaelewa taratbu ngoja tupitie vifungu vya sheria.
kwamba ni kosa kwa meneja wa msanii ambae hayupo kwenye show husika kwenda kukaa back stage wakat msanii mwengine amepanda jukwaan...
Hahaha wonders shall never cease!
 
Mbona anavisababu vya kitoto huyu inamaana wale walioandaa show ni wajinga mpka wamruhusu mtu asiejulikana amzimie mic msanii walie mlipa 150 mil kweli?

Labda mil 150 za Zimbambwe.
 
Daah nmekupenda bure ndugu yangu... yaan umeongea fact
Kiba ache kujichanganya bwana
Meneja wako kasema mengine na yeye kasema mengine heee naanza kuwa na wasiwasi na management yake piaa
Thankyu..
 
Kuwa na akili timamu management kubwa inakutanaje backstage kwan hakuna mawasiliano acheni uswahili huo
kiba anawanyima raha sana mara mnaaza kuimba vi freestyle sjui "mkiposti tembo si tunaposti show" afu jamaa hawajibu wala nn
Unajua ratiba zao zilikuwa fixed kiasi gani? Ushaambiwa CB alikuwa anaperform haraka asepe, Btw, ni lini kiba atahojiwa bila kumtaja Diamond? Ukipata jibu ndio utajua nani ni threat kwa mwenzake.

Ni lini Watz tutajifunza kuwa responsible on our own burden!? Hivi ukifeli ni lazima utafute wakumtwisha lawama. SMH!
 
Aghhh that was international show Bwana...so different managers and music stakeholders was there.. salam k ni moja wao and he is managing an international musian too na kumbuka hakuenda kwa mwaliko wa kiba or nani na hayupo anaejua pengine,aliitwa na wadau wenzake. Af kingine kama mic ilizimwa kwa bahati mbaya kwann baada ya recovery hakurudi yeye akapanda breezy? We have to change bwana ... when u fail just admit it and take it as a challenge. And thats what make a person a "WINNER"
Sunajua ka u team tena..... sema meneja nae hadi back stage
 
Kumbe hata wewe hujajua kwann watu tunamdisprove alikiba... and ur biased
 
Alikiba sehemu akifeli lazima atafute wa kumtupia lawama huwa achukulii kama challage ili imu motivate kufanya vizuri zaidi.
Angalia hapa[emoji116]
1476129820656.jpg
 
Huu ni ujinga..meneja wa diamond alienda kufanya nini??!
We ni nani hata uulize swali la kipuuzi kama hili, unataka kila alifanyalo SK akutangazie wewe?
Lakini mnawezaje kufikiri Mendez anaweza kuzima Mic? Inawezekanaje? Access aliipataje? Hakukuwa na security? Hakukuwa na DJ?
Mambo hayafanyiki kiurahisi hivyo wandugu, eti mtu anyanyuke tu akazime Mic zisizomuhusu!
Muda mwingine huwa nafikiria JF nzima jukwaa hili ndilo lina watu wenye uwezo mdogo wakureason (nikiwemo na mimi)
Excuse my bitter words if any.
 
Back
Top Bottom