Mzanzibar Halisi
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 284
- 106
Hivyo na wewe unaamini sallam alimzimia kiba mic? And like serious hujajua mpaka sasa what happened mpaka wasanii wakaperform in less time walizopangiwa awali? Huyo mmarekani mwenyewe hakupafomu kwa muda wote aliopangiwa, kilichomcost kiba mpaka hiyo incidence ikamwangukia alikuwa akitoka yeye ndio apande chris, na muda haukuwa rafiki kwao, kiba akiwa kwenye mzuka wasingeweza kumfuata stegini wakamwambia aisee shuka chris apende, manake ndio mzuka ulikuwa unapanda so best shortcut wakaona wazime mic na bila kupoteza muda chris alipanda, na alitumia mic ile ile, nilichoelewa mimi kama PAULA kuzimika kwa mic halikuwa tatizo la kiufundi, wala la kiba, wa sallam, waandaji walihusika na ukiwauliza they will give the sababu very clearly ( japo wana makosa hawakupanga muda wao vizuri) LENGO LA SALLAM KUWEPO BACK STAGE HALITOFAUTIANI NA UWEPO WAKE WAKATI WA COKE STUDIO (NE-YO) pale alienda kumnyemelea CHRIS japo sidhani kama ilikuwa rahisi kama ilivyokuwa kwa NEYO! So plzzz pepo stop hate the guy was just want to try his luck kupata kazi. Ivyo yaani!Diamond kasha cross border... hakukua na sababu yeyote ya kumuiIterrupt Kiba namna ile. Kama kweli ilipangwa its a Big Big shame to WCB.
DIAMOND ALIPOFIKIA KIBA HAWEZI KUWA THREAT KABISA..
Truee... kiba will main to be kiba n not religious matter, let us only discuss kiba and its stupidityHeshima ipite njia juu tafadhali....naona unavuka boda na kuingia nyumba zetu za ibada kwa dharau na kejeli...hizo Salome na aje zenu hatufundishwi na kamwe hazitokaa zifundishwe madrasat....paka wa maziwa weye.
we unadhani mtu anaweza tu kwenda backstage bila ruhusa? salaam alikuwa anafukuzia kuonana na Chris brown...Tatizo ni ssalaam alifata nini backstage.... alienda kama nani.. na kufata nini. Na ili iweje.. aliiitwa? Alikiba keep cool ur talented than one they compare to...
Unajaribu kuongea ukweli lkn stil unapovu flan iv na kauteam... ukikaacha hako utakua moja ya wachangiaji boraaaa..sanii lake Domo haliwezi kupiga show live bila ya playback .
Watoto jamaa matako sana pale WCB.
Hata kwenye Ziff tamasha la
majahazi hawaitwi coz hawana sifa.
No 1 kaiba kwa baba levo.
Eti msanii domo wakati Davido kasema
nigeria mpka Tanzania atamfanya kuwa maarufu
na akakubali kuwekwa mgongoni.
Nawachukia sana wale jamaa na tabia zao za kishezi.
hebu tuelezee utaalam aliotumia salam kuzima micNdugu mimi sio team kiba.. ila kwa ujinga huu siwezi utetea. Tena umetokea ugenini. Ingekua nyumbani ingekua kawaida.
Kumbe diamond ni adui wa kiba.....tokea lini wana uadui coz wakiulizwa wanakataaga sasa nashangaa kusema wana uadui eb tufafanulie zaidJiweke nafasi ya Kiba halafu unamuona Manager wa adui yako kwenye show ambayo huyo adui yako hayupo....lazma utajisikia vibaya....nimemuonea huruma
Mike haizimwi kwa msanii aliye katika ratiba ya kuperform. That never happens....Hivyo na wewe unaamini sallam alimzimia kiba mic? And like serious hujajua mpaka sasa what happened mpaka wasanii wakaperform in less time walizopangiwa awali? Huyo mmarekani mwenyewe hakupafomu kwa muda wote aliopangiwa, kilichomcost kiba mpaka hiyo incidence ikamwangukia alikuwa akitoka yeye ndio apande chris, na muda haukuwa rafiki kwao, kiba akiwa kwenye mzuka wasingeweza kumfuata stegini wakamwambia aisee shuka chris apende, manake ndio mzuka ulikuwa unapanda so best shortcut wakaona wazime mic na bila kupoteza muda chris alipanda, na alitumia mic ile ile, nilichoelewa mimi kama PAULA kuzimika kwa mic halikuwa tatizo la kiufundi, wala la kiba, wa sallam, waandaji walihusika na ukiwauliza they will give the sababu very clearly ( japo wana makosa hawakupanga muda wao vizuri) LENGO LA SALLAM KUWEPO BACK STAGE HALITOFAUTIANI NA UWEPO WAKE WAKATI WA COKE STUDIO (NE-YO) pale alienda kumnyemelea CHRIS japo sidhani kama ilikuwa rahisi kama ilivyokuwa kwa NEYO! So plzzz pepo stop hate the guy was just want to try his luck kupata kazi. Ivyo yaani!
Endelea kushangaaKumbe diamond ni adui wa kiba.....tokea lini wana uadui coz wakiulizwa wanakataaga sasa nashangaa kusema wana uadui eb tufafanulie zaid
Tuambie maana unaonekana kujua kila kitu so kuwa openEndelea kushangaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaumwa kichwa kuargue na timu king, wachache sana kati yao wenye uwezo mzuri wakufikiri, hesabu rahisi 1+1= 2 lakini zimewashinda, yaani mtu kakomaa kabisa eti SK alifata nini kwenye show ya kiba [emoji23] like seriously! Na ni nani aliwadanganya ile ni show ya kiba? SMFH (watanisamehe kama nimewavunjia heshima)
Jiweke nafasi ya Kiba halafu unamuona Manager wa adui yako kwenye show ambayo huyo adui yako hayupo....lazma utajisikia vibaya....nimemuonea huruma
Hey usidhan kila mtu ni wa mateam then sipo hapa kumridhisha mtu nacomment ninachoona kwangu sahihi!!!!Tuambie maana unaonekana kujua kila kitu so kuwa open
Yaah sijui kwann yaan anamhofia sana diamond.Kiba hajiamini. Kinatia huruma.