Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Alikiba yupo na FUNDI mitambo mr enzi hizo ha ha ha kiba bwana!
 

Attachments

  • 1476189349518.jpg
    17.7 KB · Views: 52
Watanzania kujitoa akili kwa vitu rahisi. Hivi sherehe ya Simba .... Yanga hujaalikwa unatia pua ya nin.?? kwanin usishikwe Uchawi.??
Unaonyesha jinsi gani una mawazo ya kichawi au unafikiria sana mambo ya kichawi probably ni mchawi.sehemu ambayo wanakutana watu wengi tofauti kwa nn huyo salam asiende kisa Kiba yupo.stupid.
 
Kuwa backstage nako tangu lini ikawa issue... mbona kawaida sana hii!!!! Hoja ya Kiba angalau ingekuwa na mantiki endapo show ingekuwa exclusively ni ya Kiba au angalau angekuwa ni featured act lakini haikuwa hivyo kwa yote hayo!
 
yanatokea sana hayo mambo ya papa wemba mfano ingetokea tunge mlaumu nani kama sio huyo meneja kilichompeleka nini hiooo inaweza kuwa michongo dunia imebadilika now
Kwahiyo unataka kusema papa wemba kuna kitu alifanyiwa hadi kupoteza maisha stejini?usifikiri kwa kutumia mat....o,halafu ukadhani kila mtu anatumia mat......ko kwenye kufikiri kama ww.ass h...le
 
Kwahiyo unataka kusema papa wemba kuna kitu alifanyiwa hadi kupoteza maisha stejini?usifikiri kwa kutumia mat....o,halafu ukadhani kila mtu anatumia mat......ko kwenye kufikiri kama ww.ass h...le
takwimu na tafiti zishatolewa wa tz asilimia kubwa ni vichaaa na wanafikiria asilimia moja tu. ivi wewe unamtusi mtu kisa maisha ya mtu mwingine uyoo daimond hata kukufahamu hakufahamu hata akikukuta njiani lifti hakupi povu linakutoka kwelii huu uchizi polee sana nenda ukatibiwi
 
Kiba bado mchanga
Duh.. Ina maana Diamond mpaka amalize tour yake atakuwa amepiga shows karibia 16...Tupige hesabu rahisi!! HYPOTHETICALLY tuseme apo Diamond kila show atakayopiga anapata milioni 50 tu!!!

Hiyo 50 milioni ni pesa anayopata baada ya kumaliza makato yake yote ya ulazima na kulipia gharama zote...

Sasa ukichukua idadi ya show ukazidisha na hiyo 50 mil. (50x16) unapata almost 800 milioni... Huo ni mkwanja alio ingiza kwa mda wa miezi mitatu tu!!

Apo ameingiza biloni moja kasoro milioni 200 tu!! tukiacha unafiki huyu jamaa anajua kufanya biashara ya muziki na aliwekeza kwa nguvu zake zote kuhakikisha mziki unamlipa...

Umefika mda watu tujifunze kwa wenzetu waliofanikiwa ili na sisi tupate mafanikio zaidi kupita hata wao.. Ila kuendeleza majungu na fitina haitasaida... Let's appreciate the guy's efforts!! Nasibu ni mfano wa kuigwa kwa vijana wote wanaotaka kuingia na waliopo katika music industry.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…