Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonyesha jinsi gani una mawazo ya kichawi au unafikiria sana mambo ya kichawi probably ni mchawi.sehemu ambayo wanakutana watu wengi tofauti kwa nn huyo salam asiende kisa Kiba yupo.stupid.Watanzania kujitoa akili kwa vitu rahisi. Hivi sherehe ya Simba .... Yanga hujaalikwa unatia pua ya nin.?? kwanin usishikwe Uchawi.??
Kwahiyo hiyo back stage ni ya baba yake kiba hivyo wote wanaokaa back stage inabidi wapate ruhusa ya kiba?Salam alikua anafanya nn back stage wakat alikiba anaperform ?? Ndivo nlivoelewa mimi
Kwahiyo unataka kusema papa wemba kuna kitu alifanyiwa hadi kupoteza maisha stejini?usifikiri kwa kutumia mat....o,halafu ukadhani kila mtu anatumia mat......ko kwenye kufikiri kama ww.ass h...leyanatokea sana hayo mambo ya papa wemba mfano ingetokea tunge mlaumu nani kama sio huyo meneja kilichompeleka nini hiooo inaweza kuwa michongo dunia imebadilika now
takwimu na tafiti zishatolewa wa tz asilimia kubwa ni vichaaa na wanafikiria asilimia moja tu. ivi wewe unamtusi mtu kisa maisha ya mtu mwingine uyoo daimond hata kukufahamu hakufahamu hata akikukuta njiani lifti hakupi povu linakutoka kwelii huu uchizi polee sana nenda ukatibiwiKwahiyo unataka kusema papa wemba kuna kitu alifanyiwa hadi kupoteza maisha stejini?usifikiri kwa kutumia mat....o,halafu ukadhani kila mtu anatumia mat......ko kwenye kufikiri kama ww.ass h...le
Duh.. Ina maana Diamond mpaka amalize tour yake atakuwa amepiga shows karibia 16...Tupige hesabu rahisi!! HYPOTHETICALLY tuseme apo Diamond kila show atakayopiga anapata milioni 50 tu!!!Kiba bado mchanga