Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Tatizo ni ssalaam alifata nini backstage.... alienda kama nani.. na kufata nini. Na ili iweje.. aliiitwa? Alikiba keep cool ur talented than one they compare to...
Nami hili Swali nmejiuliza, alifuata nini backstage??? Mnamlaumu kiba bure, Kama huyu meneja wa diamond hakuwa anaperform kulikuwa na sababu ya kukaa backstage??,mwenyewe Ningekuwa kiba ningedoubt tena ukijumlisha na hawa [HASHTAG]#wcb[/HASHTAG] walivyokuwa watu wa fitna
 
Na mameneja wa Chris Brown huwa wanaendaga backstage kuomba collabo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wabongo bana......kwa alichokifanya huyo meneja ndio naanza kuamini ile kauli ya sanamu la askari liondolewe liwekwe la diamond...
Why hatupendani kiasi hiki
 
lakini kwanini mic izime kwa kiba tuu na isizime wakati ana-perform chris brown au msanii mwingine yoyote [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
kwani huko nyuma alitakiwa akae nani?huyo salam alikuwa fundi mitambo??
 
Yaahh ssalam anabidi kujiongeza....
 
Tatizo ni ssalaam alifata nini backstage.... alienda kama nani.. na kufata nini. Na ili iweje.. aliiitwa? Alikiba keep cool ur talented than one they compare to...
unahisi aliingiaje bila ruhusa?huko baaa kii steji alitakiwa akae nani??
 
Tatizo kiba anamfikiria sana diamond platnumz na roho imamuuma kumuona mwenzake yupo juu, inaamana sallam kuwa backstage ni kosa, mbona naona nae anakuwa MPUMBAVU, sallam alikuwa yupo backpage na manager wa wizkid (mond ana project na wizkid) na vile vile hata mtv mwaka huu (kupitia ukurasa wao wa instagram) wamedokeza mond ana project na criss brown haya ww kama ungekuwa sallam ungefanyaje? Vitu vingine upuuzi mtupu anataka kuonyesha kufeli kwake kumetokana na sallam (childish reason), cha msingi amlaumu seven wakati yy yupo jukwaani seven alitakiwa afanye kama alivyofanya sallam, yy naona alikuwa kakaa tuuu. Alafu wa kumlaum yy anatakiwa amlaumu dj kwa sababu, dj ndie mwenye access na mic na si sallam, aache upumbavu wake akue basi hata siku moja, ila si shangai alikiba ili awepo ktk chati anamtegemea sana mond na aombe mungu aendelee kumuweka hai mond la sivyo ataumbuka kama ray.
 


Kila nikisomaga post zako kiswahili chako ni balaa mkuu jaribu kutulia post vizur mara nyingi unachapia sana.
 
Wale jamaa waliona muda umeenda na watu walikua wanamsubir Chris tu so akapanda Wizkid nae pia akaimba hakukaa sanaa lkn atlist aliimba hitsong zake thn akapanda Kiba walitumia ujanja Wizkid akapanda part ya Kiba ili akija Kiba iwe rahsi kumzimia Mic apande Chris Brown" maana kwa Wizkid ingekua ngumu kumtoa stejini.
Easy like that
Nilikua nastream live niliona kiba aache kulia lia muda ulibana tu na pia aache kupiga show kila siku mombasa aulize wenzake kina Mr Nice Matonya kuhusu show za mombasa kila mara....wakikuzoea wanakutema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…