hana faida hata tukimpotezaKina diamond wahuni sana,nahisi hata uchawi unatumika,kiba awemakini tu wasimpoteze
Una chuki vaa miwani usione gereHuyu duh
Sheria ikimjia kwa kuongea haya
Ila ni kam hataki kukubali kuwa yeye sio level ya Wickid na pia Brown. Hiyo ratiba lazima aelewe yeye alikuwa wa kuaga waliokuja na sio kuonwa kwanza nahisi alijipushi na ikamtokea hilo.
Yaani ndio maana.
Yangu macho na masikiok
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa jamaa wote ni wachawi. Kiba ni mchawi hivyo ni rahisi kumjua mchawi mwenzie.
Anyway on serious note ... huyu manager wa Diamond alionekana backstage kwanini??
Kiba katia huruma sana anavyoongea hapo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote huwa najua kiba ni chizi,ila sikuwahi dhani kuwa amefika level ya kutisha kiasi hiki.
Watanzania kujitoa akili kwa vitu rahisi. Hivi sherehe ya Simba .... Yanga hujaalikwa unatia pua ya nin.?? kwanin usishikwe Uchawi.??Tatizo kiba anamfikiria sana diamond platnumz na roho imamuuma kumuona mwenzake yupo juu, inaamana sallam kuwa backstage ni kosa, mbona naona nae anakuwa ********, sallam alikuwa yupo backpage na manager wa wizkid (mond ana project na wizkid) na vile vile hata mtv mwaka huu (kupitia ukurasa wao wa instagram) wamedokeza mond ana project na criss brown haya ww kama ungekuwa sallam ungefanyaje? Vitu vingine upuuzi mtupu anataka kuonyesha kufeli kwake kumetokana na sallam (childish reason), cha msingi amlaumu seven wakati yy yupo jukwaani seven alitakiwa afanye kama alivyofanya sallam, yy naona alikuwa kakaa tuuu. Alafu wa kumlaum yy anatakiwa amlaumu dj kwa sababu, dj ndie mwenye access na mic na si sallam, aache upumbavu wake akue basi hata siku moja, ila si shangai alikiba ili awepo ktk chati anamtegemea sana mond na aombe mungu aendelee kumuweka hai mond la sivyo ataumbuka kama ray.
Tatizo ni ssalaam alifata nini backstage.... alienda kama nani.. na kufata nini. Na ili iweje.. aliiitwa? Alikiba keep cool ur talented than one they compare to...
Kuwa na akili timamu management kubwa inakutanaje backstage kwan hakuna mawasiliano acheni uswahili huoTatizo kiba anamfikiria sana diamond platnumz na roho imamuuma kumuona mwenzake yupo juu, inaamana sallam kuwa backstage ni kosa, mbona naona nae anakuwa ********, sallam alikuwa yupo backpage na manager wa wizkid (mond ana project na wizkid) na vile vile hata mtv mwaka huu (kupitia ukurasa wao wa instagram) wamedokeza mond ana project na criss brown haya ww kama ungekuwa sallam ungefanyaje? Vitu vingine upuuzi mtupu anataka kuonyesha kufeli kwake kumetokana na sallam (childish reason), cha msingi amlaumu seven wakati yy yupo jukwaani seven alitakiwa afanye kama alivyofanya sallam, yy naona alikuwa kakaa tuuu. Alafu wa kumlaum yy anatakiwa amlaumu dj kwa sababu, dj ndie mwenye access na mic na si sallam, aache upumbavu wake akue basi hata siku moja, ila si shangai alikiba ili awepo ktk chati anamtegemea sana mond na aombe mungu aendelee kumuweka hai mond la sivyo ataumbuka kama ray.
Diamond kasha cross border... hakukua na sababu yeyote ya kumuiIterrupt Kiba namna ile. Kama kweli ilipangwa its a Big Big shame to WCB.Ina maana kiba hajui ushindani wa kibiashara!? Kwanini hakujuipanga toka mwanzo.. Ktk mambo yako au kazi zake hana plan B!!?
Okey kakatiza shoo nani mjanja nani fa.l.a.. Aisee.
Amenisikitisha kwakweli, huyu tutabaki nae hapa, harndi kokote kwa style hii..
Tulitamani atoke akajifunze bifu za nje zilivyo ila kwa hali hii nyumbani kumependa zaidi[emoji53]
Huu ushindani naona sasa si wa kisanaa!! Mnashindana kupanda ila ni vita kuhakikisha mwingine hakubaliki kabisa kisanaa!!Hapo issue ni Chris brown alitakiw afanye show then alikiba alitakiwa kumpisha,huyo manager wa Diamond km alimuona kwann hakumwambia?
Manager ndio anaoperate mitambo? Mbona mnakuwa wepes wa kuskia sabb za kitoto na kuziamin?
Alikiba hata akifa leo atalia na Diamond!! Hilo lilikuwa tatizo la operator wa event hususani katika kumpisha Chris B. na sio km Alikiba anavyotaka kuiaminisha jamii.
Wala huna haja ya kutoa povu lote hili... kibinaadamu hata ungekua wewe ungefikiri ndivyo sivyo.
Amshutumu na kumlaum kuwa kosa la kwann awepo huko back stage,kama lilimuudhi ...japo kwa utashi wangu huwez kuanza kuoperate vitu vicvyokuhusu,na alitakiwa kuwafata maoperator wamueleze sabab za kifundi,mic haiwez kurogwa lazima iwe ni sababu unayohusiana na operationg imma kwa kuzimwa au kukata kwa umeme. sio kuishi kwa hisiaHuu ushindani naona sasa si wa kisanaa!! Mnashindana kupanda ila ni vita kuhakikisha mwingine hakubaliki kabisa kisanaa!!
Sasa Salam S. K. alifata nini back stage katika show isiyomuhusu?? Sidhani kama atakwepa hizi tuhuma for sure