Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Hapo issue ni Chris brown alitakiw afanye show then alikiba alitakiwa kumpisha,huyo manager wa Diamond km alimuona kwann hakumwambia?
Manager ndio anaoperate mitambo? Mbona mnakuwa wepes wa kuskia sabb za kitoto na kuziamin?

Alikiba hata akifa leo atalia na Diamond!! Hilo lilikuwa tatizo la operator wa event hususani katika kumpisha Chris B. na sio km Alikiba anavyotaka kuiaminisha jamii.
 
Kuna njama ambazo tayari zilisha kwisha sukwa kuharibu show ya Ali Kiba na kuna hela zilitolewa kabla na alipo enda Sk alienda kukamilisha malipo na waandaaji wa show hawajui chochote kama kuna uhuni ulio kuwa unaendelea!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126]
 
Huyu duh

Sheria ikimjia kwa kuongea haya

Ila ni kam hataki kukubali kuwa yeye sio level ya Wickid na pia Brown. Hiyo ratiba lazima aelewe yeye alikuwa wa kuaga waliokuja na sio kuonwa kwanza nahisi alijipushi na ikamtokea hilo.

Yaani ndio maana.

Yangu macho na masikiok
Una chuki vaa miwani usione gere
 
Hawa jamaa wote ni wachawi. Kiba ni mchawi hivyo ni rahisi kumjua mchawi mwenzie.

Anyway on serious note ... huyu manager wa Diamond alionekana backstage kwanini??

Kiba katia huruma sana anavyoongea hapo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kilifanya nivheke sio kiba ila vomment yako.. Hahahahhaha
 
Tatizo kiba anamfikiria sana diamond platnumz na roho imamuuma kumuona mwenzake yupo juu, inaamana sallam kuwa backstage ni kosa, mbona naona nae anakuwa ********, sallam alikuwa yupo backpage na manager wa wizkid (mond ana project na wizkid) na vile vile hata mtv mwaka huu (kupitia ukurasa wao wa instagram) wamedokeza mond ana project na criss brown haya ww kama ungekuwa sallam ungefanyaje? Vitu vingine upuuzi mtupu anataka kuonyesha kufeli kwake kumetokana na sallam (childish reason), cha msingi amlaumu seven wakati yy yupo jukwaani seven alitakiwa afanye kama alivyofanya sallam, yy naona alikuwa kakaa tuuu. Alafu wa kumlaum yy anatakiwa amlaumu dj kwa sababu, dj ndie mwenye access na mic na si sallam, aache upumbavu wake akue basi hata siku moja, ila si shangai alikiba ili awepo ktk chati anamtegemea sana mond na aombe mungu aendelee kumuweka hai mond la sivyo ataumbuka kama ray.
Watanzania kujitoa akili kwa vitu rahisi. Hivi sherehe ya Simba .... Yanga hujaalikwa unatia pua ya nin.?? kwanin usishikwe Uchawi.??
 
Ina maana kiba hajui ushindani wa kibiashara!? Kwanini hakujuipanga toka mwanzo.. Ktk mambo yako au kazi zake hana plan B!!?

Okey kakatiza shoo nani mjanja nani fa.l.a.. Aisee.

Amenisikitisha kwakweli, huyu tutabaki nae hapa, harndi kokote kwa style hii..

Tulitamani atoke akajifunze bifu za nje zilivyo ila kwa hali hii nyumbani kumependa zaidi[emoji53]
 
Tatizo ni ssalaam alifata nini backstage.... alienda kama nani.. na kufata nini. Na ili iweje.. aliiitwa? Alikiba keep cool ur talented than one they compare to...

Kufanya nn isiwe hoja hoja ni:- je huyu msanii wetu hana plan B? Bado ana style za kuzira?

Msanii unatakiwa ujipange bhana
 
Tatizo kiba anamfikiria sana diamond platnumz na roho imamuuma kumuona mwenzake yupo juu, inaamana sallam kuwa backstage ni kosa, mbona naona nae anakuwa ********, sallam alikuwa yupo backpage na manager wa wizkid (mond ana project na wizkid) na vile vile hata mtv mwaka huu (kupitia ukurasa wao wa instagram) wamedokeza mond ana project na criss brown haya ww kama ungekuwa sallam ungefanyaje? Vitu vingine upuuzi mtupu anataka kuonyesha kufeli kwake kumetokana na sallam (childish reason), cha msingi amlaumu seven wakati yy yupo jukwaani seven alitakiwa afanye kama alivyofanya sallam, yy naona alikuwa kakaa tuuu. Alafu wa kumlaum yy anatakiwa amlaumu dj kwa sababu, dj ndie mwenye access na mic na si sallam, aache upumbavu wake akue basi hata siku moja, ila si shangai alikiba ili awepo ktk chati anamtegemea sana mond na aombe mungu aendelee kumuweka hai mond la sivyo ataumbuka kama ray.
Kuwa na akili timamu management kubwa inakutanaje backstage kwan hakuna mawasiliano acheni uswahili huo
kiba anawanyima raha sana mara mnaaza kuimba vi freestyle sjui "mkiposti tembo si tunaposti show" afu jamaa hawajibu wala nn
 
Ally Kiba kwa kulalama lalama nadhani ndio kwanza unazidi kupoteza...hivi ni kwa vipi Mtu mwenye akili anaweza kukubali kuwa ni kweli Sallam alipewa access na Waandaaji ya kuzima Mic?

Unashindwa hata na yule Jamaa wa Arusha (somebody Macho...) pamoja na kula 'madude' lakini bado alikuwa makini kuongelea wenzake negatively.

Utapoteza Mashabiki wengi sana kama utaendekeza tabia ya kusukumia wengine matatizo yako....Binaadam wana tabia ya kuchoka mtu mlalamishi....hata kama ni kweli hivyo ndivyo ulivyodhani imetokea, isingekugharimu kitu kuvuta subira na kufanya uchunguzi wako kimya kimya na kupata ukweli wa ni nini Sallam alifuata nyuma ya Stage.

Usije ukadhani hizi 'teams' zina msaada mkubwa sana kwa kazi zenu...ukifanya utafiti utakuta kuna Watu wachache sana ambao ni kweli watamchukia Diamond na kukushabikia wewe, au vise versa....asilimia kubwa ya Washabiki wenu ni hao hao na wapo kote kote...wataingia show ya Kiba leo na kesho akija Chibu wanaingia pia.

Hivyo hebu epuka sana kushiriki moja kwa moja kutengeneza ukuta...ushabiki waachie Mashabiki wenu....you just stay SMART.
 
Ina maana kiba hajui ushindani wa kibiashara!? Kwanini hakujuipanga toka mwanzo.. Ktk mambo yako au kazi zake hana plan B!!?

Okey kakatiza shoo nani mjanja nani fa.l.a.. Aisee.

Amenisikitisha kwakweli, huyu tutabaki nae hapa, harndi kokote kwa style hii..

Tulitamani atoke akajifunze bifu za nje zilivyo ila kwa hali hii nyumbani kumependa zaidi[emoji53]
Diamond kasha cross border... hakukua na sababu yeyote ya kumuiIterrupt Kiba namna ile. Kama kweli ilipangwa its a Big Big shame to WCB.
DIAMOND ALIPOFIKIA KIBA HAWEZI KUWA THREAT KABISA..
 
Hapo issue ni Chris brown alitakiw afanye show then alikiba alitakiwa kumpisha,huyo manager wa Diamond km alimuona kwann hakumwambia?
Manager ndio anaoperate mitambo? Mbona mnakuwa wepes wa kuskia sabb za kitoto na kuziamin?

Alikiba hata akifa leo atalia na Diamond!! Hilo lilikuwa tatizo la operator wa event hususani katika kumpisha Chris B. na sio km Alikiba anavyotaka kuiaminisha jamii.
Huu ushindani naona sasa si wa kisanaa!! Mnashindana kupanda ila ni vita kuhakikisha mwingine hakubaliki kabisa kisanaa!!

Sasa Salam S. K. alifata nini back stage katika show isiyomuhusu?? Sidhani kama atakwepa hizi tuhuma for sure
 
Swali la msingi hapa ni Je Salam ni nan hata akajeuka kuwa Fundi mitambo wa kushtukiza????
"Ni mbaazi tuu zimegoma kuzaa hivyo lazima Jua lisingiziwe"

Kuonekana kwa Salam Back-stage Kuna mengi na Moja ilikua ni Kukutana na Brizzz ili kutafuta mchongo wa Colabo kati ya Simba wa Tandale(Diamond) na Brizz, hivyo basi Kiba akubali tuu kwamba kilicho fanya azimiwe Mic ni Mpangilio Mbovu uliotolewa na waandaaji.

Then Management ya Kiba kiukweli ndiyo-inayo mwangusha Kila Mara, anahitaji Talented team katika hili ili aweze Kung'aaa zaidi kama wengine, Mfano mzuri ni wapinzani wake WCB (according to Mashabiki) ambao kiuhalisia hawana Chochote kikubwa zaidi ya Kiba ila kutokana na Kuwa na Management nzuri inayojielewa wanazidi Kutusua.

My take:
Mfalme wa Kigoma(KIBA), this is a business, hivyo yakupasa kuchkulia Muziki katika next level, wazungu wanasema 'if u want some, get some"
 
Huu ushindani naona sasa si wa kisanaa!! Mnashindana kupanda ila ni vita kuhakikisha mwingine hakubaliki kabisa kisanaa!!

Sasa Salam S. K. alifata nini back stage katika show isiyomuhusu?? Sidhani kama atakwepa hizi tuhuma for sure
Amshutumu na kumlaum kuwa kosa la kwann awepo huko back stage,kama lilimuudhi ...japo kwa utashi wangu huwez kuanza kuoperate vitu vicvyokuhusu,na alitakiwa kuwafata maoperator wamueleze sabab za kifundi,mic haiwez kurogwa lazima iwe ni sababu unayohusiana na operationg imma kwa kuzimwa au kukata kwa umeme. sio kuishi kwa hisia
 
Back
Top Bottom