Ndugu mimi sio team kiba.. ila kwa ujinga huu siwezi utetea. Tena umetokea ugenini. Ingekua nyumbani ingekua kawaida.Hakuna povu hapo.. Mdau kaongea kweli tupu. (tena hii tupu imejisitiri [emoji23])
Team kiba bhana.. Poleni mchawi nyinyi wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kilichofanya nicheke sio kiba ila comment yako.. Hahahahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwahi kufikiria kama meneja ya domo ana mambo ya kiswahili yaliyopitiliza....
UmemalizaaaKuna mambo mengine kama haya ndio huwa tunasema uswahili. Alikiba anashangaa meneja wa Diamond kukaa backstage, na eti anahoji kwa nini asingekaa VIP kama ishu ni kuona shoo. Hivyo kwa mtazamo wake yeye Alikiba anahisi meneja wa Diamond ndiye aliyezima Mic. Katika hali ya kawaida tu hivi inawezekana meneja wa Diamond akazima Mic kwenye hughuli isiyo yake? Anyway tuachane na uswahili wa Alikiba na pengine ndio maana anashindwa kufanya mambo makubwa katika muziki pamoja na ukongwe alionao katika muziki.
Kazi ya kuwa meneja wa mwanamziki ni kubwa sana kama unamua kujishughulisha na kuhakikisha mwanamziki wako unayemsimamia anafika mbali. Sote tunaelewa ni jinsi gani WCB walivyo wanzuri wa kutumia kila aina ya upenyo wanaopata katika kuhakikisha kazi zao zinafika mbali. Chris Brown kaja Kenya pamoja na uongozi wake, hivi mlitegemea Sallam akae tu ametulia, au akae VIP ametulia anangalia shoo badala ya kutengeneza contacts na uongozi wa Chris Brown? Hivi Alikiba anajua kweli namna connections na wasanii wa nje zinavyopatikana? Anajiuliza why Sallam akae backstage, heee sasa alifikiri Sallam ataongea na uongozi wa Chris Brown wapi? Mwenzake anahangaika kufanya connections na wasanii wakubwa yeye anakaa kufikiria kwamba mtu anaweza kusafiri kutoka Dar hadi Mombasa kwa ajili ya kwenda kuchomoa Mic. Huu ufinyu wa mawazo ndio unamfanya kila siku aishie kulalamika na kuhisi anahujumiwa. Leo tunapopewa ratiba ya tour ya Diamond na Neyo UK si kazi ambayo imefanyika kitoto, bali watu wametumia fursa na nafasi zinazojitokeza kuweza kutengeneza connections kama hizo. Au tumeshasahau ni namna gani Neyo na Diamond walikutana? Au hatujajua ni namna gani Diamond na Swiss Beats wamekutana?
Kifupi Alikiba ana safari ndefu ya kujifunza kuhusu namna ya kutafuta soko la muziki. Akiendelea kuwa na fikra mgando kama hizo ataishia kulalamika tu na mwishowe atashindwa kufanya vinzuri kwa sababu ya kutaka kushindana na Diamond. Mwenzake Diamond sasa hivi anafocus kwenye soko ya Ulaya maana Afrika ameshamaliza, America ameshaingia, ila yeye Alikiba anawaza kwamba mtu atapoteza hela zake kwenda Mombasa kuchomoa Mic. Daaah kweli tunatofautiana .
Yaaan umeongea maneno kuntu..hata uko Marekani ambako kunasifika kwa mziki hawawakilishiwi na msanii mmoja.mimi ni shabiki mkubwa wa diamond na alikiba ila naona kama diamond ana sifa sana anataka kuonekana yeye tu.huwa najiuliza kwani tz tukiwa na wanamuziki wengi wakubwa kuna shida gani?
mimi ni shabiki mkubwa wa diamond na alikiba ila naona kama diamond ana sifa sana anataka kuonekana yeye tu.huwa najiuliza kwani tz tukiwa na wanamuziki wengi wakubwa kuna shida gani?
Kumbe Kiba wa ovyo sana! Analeta visingizio vya kitoto.Wcb wana wivu sana awo jamaa
kwahiyo Salaam ndo alikuwa fundi mitambo???
tatizo team za kipuuzi kwani mtu huwezi mpenda diamond pia ukampenda alikiba? mbona wote mziki wao mzuri tuYaaan umeongea maneno kuntu..hata uko Marekani ambako kunasifika kwa mziki hawawakilishiwi na msanii mmoja.
sababu amesema ni 'muda" wa Chris sasa salam ndo alipanga ratiba?Yaaan umeongea maneno kuntu..hata uko Marekani ambako kunasifika kwa mziki hawawakilishiwi na msanii mmoja.
Nimekumbuka ile kauli ya "watu wanatumia pesa nikose tuzo" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiba bana hakosagi visababu....Tatizo kiba anamfikiria sana diamond platnumz na roho imamuuma kumuona mwenzake yupo juu, inaamana sallam kuwa backstage ni kosa, mbona naona nae anakuwa ********, sallam alikuwa yupo backpage na manager wa wizkid (mond ana project na wizkid) na vile vile hata mtv mwaka huu (kupitia ukurasa wao wa instagram) wamedokeza mond ana project na criss brown haya ww kama ungekuwa sallam ungefanyaje? Vitu vingine upuuzi mtupu anataka kuonyesha kufeli kwake kumetokana na sallam (childish reason), cha msingi amlaumu seven wakati yy yupo jukwaani seven alitakiwa afanye kama alivyofanya sallam, yy naona alikuwa kakaa tuuu. Alafu wa kumlaum yy anatakiwa amlaumu dj kwa sababu, dj ndie mwenye access na mic na si sallam, aache upumbavu wake akue basi hata siku moja, ila si shangai alikiba ili awepo ktk chati anamtegemea sana mond na aombe mungu aendelee kumuweka hai mond la sivyo ataumbuka kama ray.
Mbona anavisababu vya kitoto huyu inamaana wale walioandaa show ni wajinga mpka wamruhusu mtu asiejulikana amzimie mic msanii walie mlipa 150 mil kweli?