Tatizo kiba anamfikiria sana diamond platnumz na roho imamuuma kumuona mwenzake yupo juu, inaamana sallam kuwa backstage ni kosa, mbona naona nae anakuwa ********, sallam alikuwa yupo backpage na manager wa wizkid (mond ana project na wizkid) na vile vile hata mtv mwaka huu (kupitia ukurasa wao wa instagram) wamedokeza mond ana project na criss brown haya ww kama ungekuwa sallam ungefanyaje? Vitu vingine upuuzi mtupu anataka kuonyesha kufeli kwake kumetokana na sallam (childish reason), cha msingi amlaumu seven wakati yy yupo jukwaani seven alitakiwa afanye kama alivyofanya sallam, yy naona alikuwa kakaa tuuu. Alafu wa kumlaum yy anatakiwa amlaumu dj kwa sababu, dj ndie mwenye access na mic na si sallam, aache upumbavu wake akue basi hata siku moja, ila si shangai alikiba ili awepo ktk chati anamtegemea sana mond na aombe mungu aendelee kumuweka hai mond la sivyo ataumbuka kama ray.