Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Ni nani aliyetakiwa kuanza?Ahh ni mimi lakini walikuwa wanarekebisha mitambo maana mziki wa live ni tofauti kidogo.Huyu jamaa ianaonesha wazi kuwa alikula muda au mitambo ilisumbua.N huyo salamu huenda alikuwa ana mingo za kuongea na wasanii.
 
Huo sio ushindani bali ni roho mbaya.
Yeye salam anaenda kwenye ile show kama ya nani?
 
Tatizo ni ssalaam alifata nini backstage.... alienda kama nani.. na kufata nini. Na ili iweje.. aliiitwa? Alikiba keep cool ur talented than one they compare to...
Aghhh that was international show Bwana...so different managers and music stakeholders was there.. salam k ni moja wao and he is managing an international musian too na kumbuka hakuenda kwa mwaliko wa kiba or nani na hayupo anaejua pengine,aliitwa na wadau wenzake. Af kingine kama mic ilizimwa kwa bahati mbaya kwann baada ya recovery hakurudi yeye akapanda breezy? We have to change bwana ... when u fail just admit it and take it as a challenge. And thats what make a person a "WINNER"
 
Huo sio ushindani bali ni roho mbaya.
Yeye salam anaenda kwenye ile show kama ya nani?
Khhaaaaaa iv mbona unashindwa kujenge logic padogo iv jamaa??[emoji20]
Kwan wewe unamfahamu salam k kama nani kwenye industry ya mziki? Na kumbuka kama asingehitajika pale basi wasinge mruhusu aende backstage. .. acha uswahili na wewe bwana aghh
 
Thankyu
 
Ok...jiulize tena mazungumzo na msanii backstage ina maana chris hana management ya kuifuata ukafanya hayo mazungumzo??endelea kujiuliza
 
Daah nmekupenda bure ndugu yangu... yaan umeongea fact
Kiba ache kujichanganya bwana
Meneja wako kasema mengine na yeye kasema mengine heee naanza kuwa na wasiwasi na management yake piaa
 
Hilo halijitoshelezi kumlaumu Meneja wa Diamond. Alitakiwa afuatilie ili kufahamu sababu halisi ya hilo tukio.
 
Mbona anavisababu vya kitoto huyu inamaana wale walioandaa show ni wajinga mpka wamruhusu mtu asiejulikana amzimie mic msanii walie mlipa 150 mil kweli?
Hio sio sababu ya kitoto kama unavyofikiria, juzi kati hapa hata Donald Trump alitoa sababu kama hio hio kwenye debate yake ya kwanza na Hillary Clinton.
 
Yaan mshikaji kamalizaaaaaa sana ... hakuna sehemu unaweza pata muda wa kuongea na msanii mkubwa breezy if not backstage labda kama kaja kutembelea mbuga za wanyama na kupanda mlima kilimanjaro
 
We ka underperform? Ivi uliangalia short clip bideo ukaona watu walivyokuwa high na kiba? Nahisi hata huyo wizkid alijiuliza huyu kiba anaupepo gani?
Big up king kwa heshima uliyoweka japo wavimba macho hawakosi
 
Aliyekwambia kiba anapotea nani??
Alikaaa miaka mitatu bila kuimba now karudi kazini kama kupotea alipotea alipokuwa,haimbi naw karudi kazini
 
Mkuu hapo umeua kila kitu!
Kiukweli hata mimi nilikuwa nawakubali wote lakini nikaja kugundua kiba anamtengenezea diamond majungu,sasa hivi sitaki hata kusikia nyimbo za kiba na hata ikitokea naangalia video ya wimbo wake basi no katika mtazamo wa negativity yaani naangalia kwa kukosia tu,sasa ngoja nisikie wimbo wa diamond au video yake,huwa na pause kwa dakika kadhaa kuangalia video yake in positive attitude!
Na Diamond ataendelea kufanikiwa ktk mziki wake kama ameweza kuviruka vigingi vya zile team za wadada aka team wema sijui team kidoti plus team kiba na bado ananyoosha tu mafanikio yake,huyu muache aendelee kulalamika mwenzie kaenda kuunga biashara na CB yeye aliridhika kuperform jukwaa atakaloperform CB.
 
Acha utumwa wewe
 
Huyu jamaa ni Maandazi kweli. Kwani back stage ilikuwa ya kwake peke yake? Mbona ile show ya Mombasa aliyovamia hakuzimiwa mic? Kule Nigeria kwenye tuzo za Africa Magic alipopafom na penyewe alizimiwa Mic? Kila siku tunaambiwa tutumie fursa zinazijitokeza mbele yetu. Kweli meneja anaejielewa akakae VIP kuangalia show badala ya kutafuta michongo?
Kiba alikuwa macho kwa macho na Neyo kwenye coke studio matokeo yake akashindwa kutumia fursa. Alisha wahi kushiriki kwenye project ya Airtel na wasanii kibao wa Africa lakini hakutumia fursa. Kama Chriss brown kalipwa 1.9 Bil kwa kupafomu 90minutes tu halafu anasepa na private jet leo unafikiri ni rahisi kumpata akiwa Marekani? Ni rahisi kufanya Connections huku. Davido alikuja Fiesta Diamond fasta kachangamkia fursa.Diamond alipondwa sana alipojipendekeza kwenye Harusi ya PSquare watu walisema hakualikwa but kumbe alikuwa na malengo ya mbali Mwisho wa siku kafanya nao kazi.
Menejiment ya Kiba ijitafakari upya namna ya kukabiliana na Soko la mziki la sivyo itakuwa Mombasa Dar Mombasa Kariakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…