Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

sanii lake Domo haliwezi kupiga show live bila ya playback .
Watoto jamaa matako sana pale WCB.
Hata kwenye Ziff tamasha la
majahazi hawaitwi coz hawana sifa.
No 1 kaiba kwa baba levo.
Eti msanii domo wakati Davido kasema
nigeria mpka Tanzania atamfanya kuwa maarufu
na akakubali kuwekwa mgongoni.
Nawachukia sana wale jamaa na tabia zao za kishezi.
Then ukishawachukia unapata nn? Ukinipa faida za kuwachukia watu wasio kufahamu ila ww unawafahamu, watu wasiokufuatilia ila ww kutwa kwenye mitandao ya kijamii kuwafuatilia nitakubali kuwachukia pia.....
 
Katika siku ambazo nimemdharau na Kumchukia Alikiba ni leo...yaani yeye ameshajua hili bifu yeye ndiyo linampandisha...WCB wamemuacha Alikiba mbali sana..

Hivi anaelewa maana ya backstage?!Ali hajui ni nani anapaswa kukaa backsatage,video zote zinaonyesha ni wakti gani sallam alikuwa backstage,ni kuanzia festival imeanza mpaka imeisha sallam alikuwa nyuma ya Stage...Ndege ya Chrisbrown ilikuwa inamsubiri Breezy amalize show aondoke haraka!!!sallam angepata muda saa ngapi wa kuongea na management ya CB?!JIBU ni kwamba ilitakiwa amfate backstage!!

Hofu ya Ali iko wapi ikiwa kama meneja wake amekiri kwamba maiki ilizimwa na Waandaaji wenyewe ili kumpisha WizKid na CB wapafomu haraka ili Breezy awahi kuondoka na ndege yake...sasa kwanini Ali amlaumu sallam?!Halafu wakati Chrisbrown amepanda jukwaani umeme ulizimika ikabidi liwashwe generator...ina maana Sallam pia ndiye alizima umeme wakati CB anapaform?!

Nachukia sana watu wanaotaka wenzao wachukiwe ili wao WAPENDWE!!mara nyingi tumeshuhudia Ali akimwekea Chuki Diamond ili aendelee kusemwa na kusikika kwenye Media...na hii inamfanya Diamond aendelee kuwa Juu zaidi...Kumbe bila Diamond hakuna Alikiba

Hii inanifanya niamini kwamba kumbe WCB ni Brand kubwa Zaidi kuliko SONY MUSIC...
Kama msanii anayesimamiwa na Kampuni kubwa duniani ya SONY anamuogopa Meneja Uchwala tena Mtanzania Sallam sk basi ni dhahiri shahiri kwamba hiyo label haina manufaa kwake!!

Halafu show haikuwa ya Alikiba,mwenye show hasa ni Chrissbrown na WizKid...Alikiba alikuwa msindikizaji tu kama wasindikizaji wengine kina VANESSA.

Yeye alivamia show ya Diamond Mombasa na akapaform kabisaaa..lakini sikuwahi kusikia Diamond analalamika popote kwa sababu mwisho wa siku ile ni biashara na wote ni watanzania...kama Sallam ana roho mbaya kiasi hicho basi angemzimia Mic Alikiba siku ile wanapafomu jukwaa moja..

Afanye kazi...aache kulalama kama mwanamke Aliyebakwa!!Badala ya kuimba nyimbo za maana yeye ameenda kuimba MacMuga na Cinderella[emoji30][emoji30]kwanini watu wasimshushe?!
Ukikaa ukafkiri ukosahihi asili mia moja
 
So siku nyingine usiongee kitu usichokuwa na imani nacho usiongozwe na hisia
Ehee unaniambia kama nani?? nitaongea chochote ninachojisikia halafu watoto wa kiume huwa hawapendi league...ila kama wewe ni mwanamke mwenzangu endelea maana toka mwanzo sitaki mabishano ila uelewi
 
Kiba bado mchanga
 

Attachments

  • 1476163134625.jpg
    1476163134625.jpg
    14.9 KB · Views: 35
Meneger wako ,kasema tatizo ulikuwa mda ,sasa cha kumlaumu meneger wa mond ,kiko wapi ,kweli Leo ndoo tumejua kuwa wewe kila kitu kabla hujafanya na kunena unamfikiria Diamond, usinene kitu kabla hujafikiria kwanza
Ina maana hakukuwa na mawasiliano na meneja wake?Au Mondi ni kick kumzungumzia?
 
sanii lake Domo haliwezi kupiga show live bila ya playback .
Watoto jamaa matako sana pale WCB.
Hata kwenye Ziff tamasha la
majahazi hawaitwi coz hawana sifa.
No 1 kaiba kwa baba levo.
Eti msanii domo wakati Davido kasema
nigeria mpka Tanzania atamfanya kuwa maarufu
na akakubali kuwekwa mgongoni.
Nawachukia sana wale jamaa na tabia zao za kishezi.
Sioni ajabu mzanzibar kuwa na chuki.Hata sisiem na kafu hampeani maji ya kunywa.
 
mbona instagramu kuna picha imezagaa kibakuli amepga na uyo meneja wa domo wanakula pamoja hivi watanzania mmefikia hatua ya kufurahia ugomvi wa watanzania wenzenu SMH
 
mfalme wetu unayeishi kwa mama nyamaza...tema mate tumchape sallam sk...sallam wewe..wewd..kwa nini unazima mic ya mfalme kibakuli..? haya nyamaza tumemchapa (in woman's voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtoto mwinyi sana huyo.
 
Ninavyojua mimi ile microphone Sallam aliipiga juju ghafla ikazima. Kiba alivyopiga ramli zake tu akaona kuna mkono wa mtu hapa. Kwahiyo msimbishie
Accordin to Pagan[emoji27]
 
EXCLUSIVE: The threat Chris Brown’s security issued to Ali Kiba - eDaily Kenya

Tanzanian artiste Ali Kiba found himself swimming in murky waters when he appeared late for his performance at the Mombasa Rocks Festival held at the Mombasa Golf Club last Saturday.

The event, which was headlined by American double platinum R&B sensation Chris Brown, saw Ali Kiba perform only two songs, Aje and Macmuga, before leaving the stage prematurely; visibly frustrated.

Ali Kiba performed after Nigeria’s Wizkid had taken to the stage, leaving many revelers confused on the protocol that was being used to call artistes to the dais.

Known to many, Wizkid was one of the two main acts of the event – deputising Chris Brown in terms of hierarchy – at least according to the event’s organizers. So when Kiba took to the stage after Wizkid, questions were raised.

It now emerges that Chris Brown’s security issued a threat to Kiba to vacate the stage so that the Loyalhit-maker could thrill fans – as the time allocated for Brown’s performance (minutes to 1am) had clocked.

“Go tell that man (Ali Kiba) to leave the stage in less than two minutes or else we will physically get him out of the podium,” Chris Brown’s security was heard, by our resident DJ, telling the floor manager.

The floor manager obliged. He went toward Kiba and whispered the order to him. However when the singer overstayed his welcome on stage, the microphone was switched off.

Ali Kiba in an October 10 interview with Radio Citizen’s Mambo Mseto host Willy Tuva claimed that someone played a dirty trick on him.

“Every artiste had a special agreement with the event organizers. Chris Brown’s contract stated he performs for 80 minutes and leave the stage right after,” Ali Kiba told Willy Tuva.

“I don’t know what transpired to an extent someone came and disconnected my microphone while I was on stage. I was not impressed. Many things happened, that left me confused,” said Ali Kiba.

“I saw Diamond Platnumz’s manager going to the backstage when I was performing. What was he going to do there? Of what relevance was he to the event? It did not paint a good picture, especially when people think that Diamond and I have differences, of which we do not have. However, what will people think when they see Diamond Platnumz’s manager at the backstage and almost immediately my microphone goes off?

“What even made him go to the backstage? There are many people who sat at the VIP reserve. If it is a must for someone of his caliber to attend the show, he should have remained rooted in the VIP section. What was he doing at the backstage?” posed Kiba.

Ali Kiba, however, claims he cannot directly link Diamond Platnumz’s manager to the crisis, though he was disappointed to see him at the backstage.

“I do not know if the microphone was switched off so that I make way for Chris Brown. I was taken aback. You know I have a huge fan base in Mombasa; and many fans, before I even took to the stage, wanted me to perform. And when I just took to the podium, even before performing a number of my hits, the microphone was disconnected. I think my fans understood me. It was not my fault,” said Ali Kiba.
 
Ehee unaniambia kama nani?? nitaongea chochote ninachojisikia halafu watoto wa kiume huwa hawapendi league...ila kama wewe ni mwanamke mwenzangu endelea maana toka mwanzo sitaki mabishano ila uelewi
Kwani nimekulazimisha unijibu
 
Ule utafiti uliosema zaidi ya asilimia 90 ya watanzania wanaamini ushirikina sasa unatimia.Swali langu huyo meneja alikata nyaya au alizima umeme au alienda roga kama mnavyojiaminisha?Ninavyohisi mimi huenda jamaa kaenda kutengeneza deal kama ikiwezekana msanii wake amshirikishe Criss kwenye wimbo wake.
 
Huyu jamaa anafeli sana kwa wivu usio na msingi. It's obvious kuna foul play, ila Diamond na team yake hawana juice ya kufanikisha kitu kama, nor do they have a reason to anyway.

Kilichotokea, ni technical foul-play kutoka kwa waandaaji. Ni wazi hawakujipanga, na Kiba akatolewa kafara.

Cha kufanya, ni Kiba kuwabana waandaaji kupitia makubaliano yao(kama yapo), na jamaa watoe report ya kilichotokea na kumsafisha mshkaji, pengine wamlipe fidia. Otherwise, hili ni doa kubwa kwa msanii wa level yake, na anazidi kuchafua kwa kutoficha upumbavu wake.
 
Back
Top Bottom