brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Ulifuata nini back stage? Lile tamasha lilikuwa na wasanii wengi nazizi, navio, dj maphorisa, wizkid na timu ya chris brown wote walikuwa back stage wewe ulitaka awe vipi connected na hao watu?Alifuata nini back stage,ukijua mtu atatafuta sababu kupitia wewe muepuke...ni sawa na wazazi wanapowaambia watoto usicheze na mtoto yule mtakolofishana tu..kwa hiyo ni jukumu lako kumpitia mbali
..
Mbona hoja dhaifu sana hiyo