M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kutafuniwa kila kituNape kafanyaje
Sijui kwanini lakini nimejikuta nikicheka baada ya kusoma hii comment.Kesho timu pinzani iko msoga inamtembelea bibi yetu mpendwa
Haha bwana alwatanMagufuli apake rangi hapo kwa mama yake basi. Panatia aibu.
Hahahaha......kwamba karuka wabibi wote..mpaka kampata Chato....angeanza na bibi ake kwanza....hahahaKwanini asijipige selfie akiwa na bibi yake?? Why mama Magu ndo iwe story..???? Kuna kitu anakitafuta....?? Na kwa sababu jamaa anapenda matukio ya sifa sifa, basi atakipata.
Kuna kaukwelimoKik tu anatafuta .....ili bwana yule amuite white house!
Ova
Mange Hampendi alikiba kihivyo zaid anafanya vile kumkomoa Diamond pili mange kaweza kumdiss Wema sembuse huyo AllyHapa kuna shida kubwa naiona kwa Dada yetu Mange Kimambi....
Naanza na fungua semi
....Dada Mange anamchukia Magufuli to the maximum
....Dada Mange anampenda Ali Kiba to the maximum
..................................
Funga semi
.....Dada Mange anaichukia CCM to the maximum + Serikali yake
.....Dada Mange anamchukia Diamond to the maximum
...................
Then what's happening now??
Mange na yeye kumpenda Magufuli au Kumchukia Kiba??
Kuddos Maisha....
Ndo maana nashangaa. Akiwa na bibi yake wala hapigi selfie na kupost kwny mitandao. Ila akiwa na bibi wa wengine anapostHahahaha......kwamba karuka wabibi wote..mpaka kampata Chato....angeanza na bibi ake kwanza....hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]