Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una chuki binafsi wewe kuna mambo mengine hupaswi kuona wivu kwani kumsalimu mtu ni kosa?Huyu anamatatizo ya akili
1. Anajikomba kuaanda mazingira 2020 upigaji debe jukwaani
2. Ana..ndoto kufanya hivyo kutampaisha
All in all this guy has mistaken completely with no sooner.... His success will drop drastically
Una chuki binafsi wewe kuna mambo mengine hupaswi kuona wivu kwani kumsalimu mtu ni kosa?
Huyu anamatatizo ya akili
1. Anajikomba kuaanda mazingira 2020 upigaji debe jukwaani
2. Ana..ndoto kufanya hivyo kutampaisha
All in all this guy has mistaken completely with no sooner.... His success will drop drastically
Hizi tunaziita "shobo dundo"...Kule kwao kigoma kwani hakuna wagonjwa wa kuwaona?
Ni kweli shida ya Mange ni Diamond na wala siyo kwamba anampenda kiba, hivyo.mange yupo tayari kushikamana na yeyote atakayemsaidia kumtikisa MondiMange Hampendi alikiba kihivyo zaid anafanya vile kumkomoa Diamond pili mange kaweza kumdiss Wema sembuse huyo Ally