Ali Kiba amtembelea mama mzazi wa Rais Magufuli nyumbani kwake wilaya ya Chato

I hope alimwambia naniliii amwambie mwanae kua uraisi mwisho [HASHTAG]#2020[/HASHTAG]
 
Kwanini asijipige selfie akiwa na bibi yake?? Why mama Magu ndo iwe story..???? Kuna kitu anakitafuta....?? Na kwa sababu jamaa anapenda matukio ya sifa sifa, basi atakipata.
Hahahaha......kwamba karuka wabibi wote..mpaka kampata Chato....angeanza na bibi ake kwanza....hahaha
 
Mange Hampendi alikiba kihivyo zaid anafanya vile kumkomoa Diamond pili mange kaweza kumdiss Wema sembuse huyo Ally
 
Hahahaha......kwamba karuka wabibi wote..mpaka kampata Chato....angeanza na bibi ake kwanza....hahaha
Ndo maana nashangaa. Akiwa na bibi yake wala hapigi selfie na kupost kwny mitandao. Ila akiwa na bibi wa wengine anapost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…