Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Dogo vipi ao Mimi wote ni wadogo zangu kabisa ..
Ali nimempokea mimi madrasa abasia kariakoo so namfahamu vizuri kabisa yeye na familia yake yote ..
Hahahaaaa πŸ˜† wabongo bhana, eti nimempokea, sawa mkuu nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…