Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Dully mkubwa sana kwa wasanii wengi.Mhh dully hajafika 47 mkuu sidhani
Ametoa wimbo wa Julietta miaka ya 1999-2001 akiwa ameshafikisha miaka 19-20.
Usione anatoa nyimbo hadi sasa ukajua wa kizazi cha sasa.
Yule ndiyo muanzilishi wa kuimba bongo flava na rap katuni.
Kabla yake wengi waliimba hip hop kurap tu. Wachache waliimba wengi hasa wakiwa wasichana wa wakati huo.