Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Kipindi alikiba ana toa Cinderella mpaka alikiba ninalia naumia mwenzio, huyu HEMED alikua kitoto back to back Leo HEMED mkubwa Kwa king dah au Mimi ndo nimewachanganya

Screenshot_20260831-210216.jpg
Screenshot_20260831-210142.jpg
 
Na Mimi nakugawia wewe mkuu, alafu unajuaje mtu ni mwema na uishi nae au Huwa unaenda geto kwake?
Kwa ufupi,acha kufuatilia mambo madogomadogo ya watu.Huo muda kazana kukuza kipato na kuimarisha uelewa wa mambo yatakayokunufaisha maishani.Umri,kimo,jinsi yake au chochote cha mtu mwingine kinakuhusu nini hadi ukishupalie?
 
Kwa fupi,acha kufuatilia mambo madogomadogo ya watu.Huo muda kazana kukuza kipato na kuimarisha uelewa wa mambo yatakayokunufaisha maishani.Umri,kimo,jinsi yake au chochote cha mtu mwingine kinakuhusu nini hadi ukishupalie?
Kuna haja gani yeye kuja kuweka MTANDAONI kama hataki tukishupalie? Kuna sehemu una post, alafu Kuna sehemu ya comments, sijui Kwa Nini imekua mzembe kias hicho kuelewa mana yA neno comments, hapo ni watu waelezee kile ewanacho kiona Kwa picha, we ndo una akili sana kushinda yeye alieweka bila kulombwa punguza ukimbele front kwenye maisha u
Ya mtu ungesubiri yeye aje kumuelewesha sio wewe chawa usiefahamika kwake mkuu, ye akutambui hata
 
Back
Top Bottom