Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Kaangalie wimbo wa Ali Kiba wa Cinderella au Mac Muga halafu kadiria miaka hiyo ya gizani alikuwa na umri gani kisha linganisha na sasa utapata makadirio ya umri sahihi.

Ninachosema ni kwamba hizi nyimbo aliimba mimi nikiwa mdogo nipo primary lakini sasa hivi nipo kwenye middle 30's.
Kiba Yuko kwenye 40's sasaivi abdu mdogo ake na mondi ni age mate kabisa
 
Kiba, Blue, TID, Ngwair and the likes wapo kwenye game mimi nikiwa mdogo nakumbuka primary madarasa ya mwishoni.

Kwamba leo hii awe na 39 tu? Anaweza kuwa kwenye around 46-49.
yule mwanamke wake miss sasa atakuwa na miaka mingapi?

39 ya ya yule miss Tanzania, mna mjua

39 usivunje bei
 
Yan alikiba kanizidi miaka 7?, wakati sindelela inatoka 2006, nlikua na miaka 12, kwamba alikiba alikua na miaka 19 wakati huo?
Wengi walianza Bongo Fleva wakiwa under 20yrs e.g. Members wa Daz Nundaz (Ferooz, Daz Baba, Sajo, La Rhumba & Critic). Walianza kutoka wakiwa wanafunzi was secondary, the same to Dogo Janja n.k
 
Kwa ufupi,acha kufuatilia mambo madogomadogo ya watu.Huo muda kazana kukuza kipato na kuimarisha uelewa wa mambo yatakayokunufaisha maishani.Umri,kimo,jinsi yake au chochote cha mtu mwingine kinakuhusu nini hadi ukishupalie?
Huyu jamaa sijui bado ni tineja? Leo ameanzisha uzi wa kumlilia Min Me sijui kama yupo ni timamu ? Najiuliza bado ni Kijana au Mtoto wa kiume ?
 
Sina cha kukusaidia ujitambue.Huna hata kazi yoyote uliyoachiwa na wazazi wako hapo nyumbani kwenu ufanye?Kutwanga mahindi?Kwenda kusaga lishe ya wadogo zako je?Kuosha mabakuli?Ndiyo tujadili umri wa mtu?Such a low life behaviour!

Mtoa mada unevamiwa pole,

Kama hawapendi umbea hata kukoment wasingetakiwa

wanafanya nn hapa ??

Ukileta mwingine nitag kabisa
Usijali kwenye msafara wa mamba Kuna vikenge Fulani hivi, tavishughulikia
 
Back
Top Bottom