Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Kaangalie wimbo wa Ali Kiba wa Cinderella au Mac Muga halafu kadiria miaka hiyo ya gizani alikuwa na umri gani kisha linganisha na sasa utapata makadirio ya umri sahihi.

Ninachosema ni kwamba hizi nyimbo aliimba mimi nikiwa mdogo nipo primary lakini sasa hivi nipo kwenye middle 30's.
Dully Sykes kazaliwa 1979 ambaye sasa ana miaka 47. Dully anamzidi umi Ali Kiba miaka zaidi ya 2 Sasa hiyo 46 -47 Ally anaitoa wapi?
 
Sasa dogo,wewe kila unapoelekezwa jambo unawaza ni kufirwa na mikundu tu,utabadilika lini?
Nisikilize dogo, kipindi uko shule kunakitu kili itwa debate, au mdahalo, unapo ingia kwenye mdahalo Huwa Kuna pande mbili tu, pro side na opp side, nikuulize tu kiungwana mkuu, kwenye hii mada we ulikuja upande upi? Yani pro au opp side? We umefika nakuanza kutoa matusi mi nikufanye Nini?

Vita navyo weza kupigana mwenyewe Huwa sisubiri kutetewa
 
Maelezo mengi ila haujitambui.
 
Eti udhani! Mimi nikajua una uhakika
Nawashangaa mnaoletaga nyuzi za kuuliza maswali watu wakijibu mnachonga mdomo kumbe mna majibu yenu kichwani.
Dear my wife to be and my only one, kwani Mimi nimemuongelea dully, au nimemuongelea alikiba na HEMED?
 
Hemed hana miaka 44, halafu mnaosema sijui nilikua primary wakati wanaimba sijui nilikua nina miaka 12, mjue hao wote mlikua ni agemates sema nyie mlikazana kukaririshwa "edukeshen iz beta zan mane", wenzenu wakaona ujinga wakaenda kuzitafuta hizo mane, leo nyie mna degree mifuko iko empty wenzenu wa darasa la 7 akaunts zinasoma 6 figures.
 
Back
Top Bottom