Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

Wewe fara tu na utakuwa mtoto wa Kinondoni, unakuwa kama ***** kufuatilia maisha ya wanaume
Samahan dada angu Niko chini ya miguu Yako NISAMEHE dada, sikujua kama ni bwana Yako anakufukua NISAMEHE Mimi NISAMEHE ohh nimekosa NISAMEHE bu
Unajua umepata jembe, miaka kadhaa baadae jembe lako liko obsessed na umri wa wanaume wenzake.
Njoo ghetto nikuoneshe jembe unalo liulizia, uje na mafuta
 
Kuna haja gani yeye kuja kuweka MTANDAONI kama hataki tukishupalie? Kuna sehemu una post, alafu Kuna sehemu ya comments, sijui Kwa Nini imekua mzembe kias hicho kuelewa mana yA neno comments, hapo ni watu waelezee kile ewanacho kiona Kwa picha, we ndo una akili sana kushinda yeye alieweka bila kulombwa punguza ukimbele front kwenye maisha u
Ya mtu ungesubiri yeye aje kumuelewesha sio wewe chawa usiefahamika kwake mkuu, ye akutambui hata
Sina cha kukusaidia ujitambue.Huna hata kazi yoyote uliyoachiwa na wazazi wako hapo nyumbani kwenu ufanye?Kutwanga mahindi?Kwenda kusaga lishe ya wadogo zako je?Kuosha mabakuli?Ndiyo tujadili umri wa mtu?Such a low life behaviour!
 
Hapana mkuu naishi kwangu sio Kwa wazazi wangu, ukhitaji njoo geto niletee hayo matakro Niya chape na mafuta
 
46 - 49 range ya umri wa Lady JD, Prof J, Dully Sykes, n.k. Ali Kiba hajafika huko ni mdogo.
Kaangalie wimbo wa Ali Kiba wa Cinderella au Mac Muga halafu kadiria miaka hiyo ya gizani alikuwa na umri gani kisha linganisha na sasa utapata makadirio ya umri sahihi.

Ninachosema ni kwamba hizi nyimbo aliimba mimi nikiwa mdogo nipo primary lakini sasa hivi nipo kwenye middle 30's.
 
Back
Top Bottom