Ali kiba anavyofanana na Jakaya Kikwete

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,504
Nimekua nikimfananisha Ali kiba kimuonekano na haiba ya mheshimiwa sana Jakaya Kikwete, kiasi cha kuona kua kama aanaonekana kama ni Mwanae wa kumzaa.

Nilimuangalia kwenye wimbo wa 'aje' akicheza. Na nikaona footage moja JK aki dance na msanii wa kike kwenye hafla fulani alipokua madarakani.
zote wakiwa wamevaa vazi la suti.

Naona kuna vitu wanafanana Sana.
Ni hayo tu
Sijui Kama yupo yeyote mwenye muono Kama wangu?

Nawasilisha..
 

Ngoja nikusaidie kuweka picha waliyopiga pamoja ili binadamu wanaokusoma wajiridhishe uyasemayo...




Kazi ni kwao...
 
Mimi namuona kafanana na yule bush man wa kwenye ile movie ya The God Must Be Crazy...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…