Ali kiba anavyofanana na Jakaya Kikwete

Ali kiba anafanana na jk....kupata vichekesho kama hivi andika ujumbe mfupi wa maneno kwenda kariakoo
 

Naona unamfananisha Luis Suarez wa Uruguay na Malimi Busungu wa Tanzania.
 
Naona unamfananisha Luis Suarez wa Uruguay na Malimi Busungu wa Tanzania.
Kuna siku Prezzo aliambiwa name Presenter kua anafanana name BirdMan wa USA. Akakataa katakata akidai Birdman ndiye anayefanana naye. Sio yeye anafanana name birdman.[emoji23]

Kuna watu ukiwafananisha, inakua Kama unawalazimisha wengine waamini kua wanatabia na maisha sawa kumbe ni mfanano tu. Japo tabia zinaweza zisifanane.

Kwa mfano ni kweli hawa wamakonde harmorapa na harmonize wanafanana. ukweli huu mchungu huu. Hauepukiki labda akafanye plastic surgery.

Pia harmorapa anafanana na Jengua.

Barak Obama alifanana na shetani mmoja kwenye filamu ya Passion of Christ.

Kufanana ni kufanana tu. Hakuepukiki
 

Kwahiyo kumbe inawezekana hata Wewe ukawa unafanana na Hayati Remmy Mtoro Ongalla?
 
Nasikia miaka ya nyuma Jakaya aliwahi kuishi Kariakoo. Kama ni hivyo Jakaya itabidi anunue RAV 4 tu na tena atoe laki 5 kwa wiki maana hakuna namna!
 
Naona Hallelujah imewafanya watu wachanganyikiwe adi wana compare vitu vsvo a uhusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…