kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Ali kiba anafanana na jk....kupata vichekesho kama hivi andika ujumbe mfupi wa maneno kwenda kariakoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekua nikimfananisha Ali kiba kimuonekano na haiba ya mheshimiwa Sana jakaya kikwete, kiasi cha kuona kua Kama aanaonekana kama ni Mwanae wa kumzaa.
Nilimuangalia kwenye wimbo WA Aje akicheza. Na nikaona footage moja JK aki dance na msanii WA kike kwenye hafla fulani alipokua madarakani.
Zote wakiwa wamevaa vazi LA suti.
Naona kuna vitu wanafanana Sana.
Ni hayo tu
Sijui Kama yupo yeyote mwenye muono Kama wangu?
Nawasilisha..
Mkuu sio mkwere ni mkware kwa maana ya mzee wa totoz.Alikiba mkwere tena duuh!!!!!
Ok nimekusomaMkuu sio mkwere ni mkware kwa maana ya mzee wa totoz.
wewe picha unazitoaga WAP? nimecheka sanaNgoja nikusaidie kuweka picha waliyopiga pamoja ili binadamu wanaokusoma wajiridhishe uyasemayo...
![]()
![]()
![]()
Kazi ni kwao...
Inahusiana nn na madaAlikiba ni mbinafsi huyo... kashindwa kumuiniua hata mdogo wake abdul kiba ...
Kuna siku Prezzo aliambiwa name Presenter kua anafanana name BirdMan wa USA. Akakataa katakata akidai Birdman ndiye anayefanana naye. Sio yeye anafanana name birdman.[emoji23]Naona unamfananisha Luis Suarez wa Uruguay na Malimi Busungu wa Tanzania.
Kuna siku Prezzo aliambiwa name Presenter kua anafanana name BirdMan wa USA. Akakataa katakata akidai Birdman ndiye anayefanana naye. Sio yeye anafanana name birdman.[emoji23]
Kuna watu ukiwafananisha, inakua Kama unawalazimisha wengine waamini kua wanatabia na maisha sawa kumbe ni mfanano tu. Japo tabia zinaweza zisifanane.
Kwa mfano ni kweli hawa wamakonde harmorapa na harmonize wanafanana. ukweli huu mchungu huu. Hauepukiki labda akafanye plastic surgery.
Pia harmorapa anafanana na Jengua.
Barak Obama alifanana na shetani mmoja kwenye filamu ya Passion of Christ.
Kufanana ni kufanana tu. Hakuepukiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo kumbe inawezekana hata Wewe ukawa unafanana na Hayati Remmy Mtoro Ongalla?
Kiba kamfanana sana bushmanView attachment 598806 sio kweli
haaaa haaaa haaa yaani hiyo ni mbingu na ardhi. kula like mkuuNaona unamfananisha Luis Suarez wa Uruguay na Malimi Busungu wa Tanzania.
Niweke za kwako?wewe picha unazitoaga WAP? nimecheka sana