Ali Kiba anavyoishi mtaani kwao: Majirani wasema haongei na anajificha

safi sana alikiba haiwezekani msanii wakimataifa uanze kuonekanika hovyo hovyo eti kisa majirani kama wanataka kukuona wakufuate kwenye show zako au wakucheki instagram au you tube na hiyo ndio maana halisi ya kuwa star
 
mkuu ni mdaku sna [emoji102]
 
Husda tu! Na Mwenyezi atazidi kumuepusha zidi ya mabaya yote Siku zote yamuepuke In Sha Allah! Maana hapo Mahasidi wanatamani yamkute ili waanze kusema ooh hasalimii Watu sijui hivi na hivi! Hasidi hakosi sababu!
 
Alikiba kutosalimia mtu siwezi kushangaa ni msanii mwenye kibri na dharau sana....
kumsalimia kila mtu mtaani sometimes ni utahira
mfano wewe umemaliza wote mtaani kwako??
naye binadamu pia ni jirani kama wengine sio lazima mpaka aanze yeye

by the way mtoa mada asante kwa taarifa
 
Sasa wewe ulitakaje?

Awe anashinda nao kwenye vijiwe vya kahawa?!
 
Alikiba kutosalimia mtu siwezi kushangaa ni msanii mwenye kibri na dharau sana....
Ana miaka 10 kwenye muziki...hao wenye tabia unazozitaka wamemkuta na kumuacha sasa sijui hizo tabia unazotaka zina faida gani kwa msanii?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…