Tetesi: Ali Kiba aongeza single mother, demu amkimbia Dar baada ya kukwepa majukumu

Tetesi: Ali Kiba aongeza single mother, demu amkimbia Dar baada ya kukwepa majukumu

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Habari wadau,

Msanii Ali Kiba ameongeza mtoto wa tano kwa mama tofauti. Mzazi mwenzie huyo kwa sasa (single mother) ni mkazi wa Mombasa na anadai alipewa ujauzito kipindi Ali Kiba anapiga show pwani hiyo.

Dada huyo akadai kuwa baada ya kujifungua alimtafuta mzazi mwenzie ambaye ni Ali Kiba lakini hakufanikiwa.

Ali Kiba baada ya kuulizwa alimumunya mumunya maneno bila kutoa jibu la maana zaidi ya kusema kupima damu (DNA).
 
Tatizo wanawake nao wakisha ona mtu maarufu wanajishobokesha matokeo yake ndio hayo sasa atulie tu ajitunzie mwanae.
 
Back
Top Bottom